Hongera Pacome Zuzu kwa kujivunja mapema leo vs Azam

Anataka kuwa warrior kwa mdomo baada ya kuona wachezaji wake wameshindwa kuwa warrior kupitia miguu yao.

Ukifungwa tulia kuwa mpole

Huwezi ukafungwa na ukawa na power ya mdomo kutaka kuwazima wapinzani wako kwa kebehi

Ni lazima tu utajikuta umetukana.

Hao si walitufunga sie 5, sasa unafikiri kwa leo hizo 5 zitasaidia chochote kupunguza makali ya sisi kuongea?

Anatakiwa ajifunze ku handle emotions
 
Ila mods hichagua wa kupiga ban...mi sijaona kosa lake, nimeipitia replies zake
 
Kujifananisha na nani sasa? Kama jina la Zizou alipewa Ivory Cost huko alipochukua MVP wa ligi yao sio bongo.
 
Maana yake Kuna watu wanafungiwa hata kwa lisilo kosa na wengine wanatukana na hawafungiwi,so simply ni ubaguzi
Hilo linawezekana kuwepo sikatai

Ila kwa situation ya jamaa yako kupigwa ban nakataa kuwa ameonewa.

Nimeona umesema umefuatilia post zake hujaona tusi, lakini kama ni kweli basi hujafutilia vizuri au lah una bias zako.

Huyo jamaa amenifananisha na dada katika moment ambayo sijam crush kwa tusi lolote na mimi siku react nikachukulia normal kwasababu hizo ndio kauli ambazo naishi nazo mtaani
 
Sasa kukufananisha na dada ndo apigwe ban!?..ulishawahi nadi jinsia yako humu mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…