Kama sijawahi nadi jinsia yangu unaona ni sahihi yeye kunipakazia jinsia yeyote?Sasa kukufananisha na dada ndo apigwe ban!?..ulishawahi nadi jinsia yako humu mkuu?
Hilo kwa sasa sio muhimuMuhimu Yanga inaongoza ligi na itachukuwa Kombe..
Yanga ndio wenye tabia ya kuwafananisha wachezaji wao na Chamma kuanzia Morrison,Feisal,Aziz Ki na saaa PacomeWanayemfananisha Pacome na Chama ni mashabiki wa simba , sio yanga
Hizi kelele za chama vs Pacome zimeanza baada ya simba kumfunga jwaneng 6 bila , ambapo mashabiki wa simba ndo wakaleta hio hoja kisa ali perform vzr mechi hio .
Mmh hapa nimewaonea huruma wananchiJamaa kaumia yule, sidhani Kama atacheza na mamelod,yao mwenyewe hamstring ni wiki tatu,yanga hii mechi wangeichukulia poa tu
Kulikuwa na maduka yenu kina Bangala ambayo kocha dialo kayashtukia na kuamua kuyaweka benchi .Kwamba mechi ya kule Tanga Azam anapigwa goli mbili kavu, na mechi ya mzunguko wa kwanza Azam walipopigwa goli tatu, hao wakina Fei toto hawakuwepo. Poop poop popoma on one and two.
Mbona wengi tu wanaitana mama,dada,shangazi na hawapigwi ban!?..au we ni moderator?..au unajuana nao?Kama sijawahi nadi jinsia yangu unaona ni sahihi yeye kunipakazia jinsia yeyote?
Kwanini asiniulize jinsia yangu asikie majibu kutoka kwangu?
Toka lini kuitwa Utopolo ikawa tusi?Okwi boban sunzu katukana live,hajapigwa ban bali Uzi umefutwa,huyo mwamba sijaona kosa lake
Mkuu sikucheki game,kwaiyo Pacome na Yao wote wamepata ni majeruhi saiz?Jamaa kaumia yule, sidhani Kama atacheza na mamelod,yao mwenyewe hamstring ni wiki tatu,yanga hii mechi wangeichukulia poa tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kikweli kuumia kwake imenifurahisha sana...sijui nimeanza kuwa mchawi?
Ni kichaa tu anayeamini kuwa 🐸🐸 wataenda half final CAFCL.Kama Masandawa walikua Taifa Kuchukua Notes, Wamecopy "Tango Pori"
Ukiona hivyo ujue hao wanatambuana jinsia zao au wamekubaliana.Mbona wengi tu wanaitana mama,dada,shangazi na hawapigwi ban!?..au we ni moderator?..au unajuana nao?
Unaweza battle mkuuNi kichaa tu anayeamini kuwa 🐸🐸 wataenda half final CAFCL.
Mkuu umeongea kitaalamu sana hapa mtu asiyekuwa na mihemuko atakuwa amekuelewa 95.5%. Appreciated!Kukimbia ni sifa ya mwizi.
Yule Kisinda aliyekuwa anakimbia sana vipi bado yupo hapo Utopoloni?
Na huyo naye si ndio alikuwa kwenye ile list ya wachezaji waliofananishwa na Chama?
Hata nyie Simba mtatufunga tarehe 13 lakini Kombe ni la Yanga mwaka huu.Hilo kwa sasa sio muhimu
Labda mkiwa peke yenu huko mnaweza kutumia neno hilo kama faraja kupoza machungu
Ukweli wasiotakaa kuusikia, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo anataka kwenda na flows za mahabiki wanomfananisha na mchezaji ambaye sio level yake
Anajikuta anacheza performance ya mchezaji mwingine mwishowe anakosea anaangukia majeraha.
Ndio maana unaona unnecessary injuries kama hizi.
Angekuwa anajichezea kwa mfumo wake aliozaliwa nao bila kutaka kuwa kama mchezaji mwingine hayo yote yasingemkuta.
Wamevurugwaaa kabisaaa hawa watu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni eidha hujui au unajua ila umeamua kudata tu kwasababu ya kipigo cha leo.
Mjadala wa Chama na Pacome ulianzia kwenye mechi ya mwisho na Galaxy?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni kichaa tu anayeamini kuwa [emoji196][emoji196] wataenda half final CAFCL.
Na haitakaa itokee vile Pakome ni mmoja tu, pia hakuna mchezaji ktk NBC ligi yote kama Fei Salum, Kibu au DiaraHakuna mchezaji Kama pacome NBC premier league