Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 4,675
- 6,428
Hongera Pascal Mayalla kwa kumtembelea mweyekiti Lissu mahakamani amau sasa kusimama upande wa haki
Tembeleo liliobeba ajenda za kumtenga na kumchafua Jiwe hk wakila mingo Muda was kupora kiti na kuwapumbaza chadema hd wakija kuamka wameisha.Wapo waliowahi kumtembelea alipopigwa risasi lakini Sasa wanatamani hata afe...
DUh walifikiri baada ya Risasi ataungana na mashetaniWapo waliowahi kumtembelea alipopigwa risasi lakini Sasa wanatamani hata afe...
hiyo mbwa pascal miyala naichukia! Kmmk zake!! Limbichwa lake libaya limejaa uchawa na undumilakuwili!! Kmmk pascal.Amemtembelea Au alikuwa anampeleleza ili naye awe shahidi wa kificho
Hongera Pascal Mayalla kwa kumtembelea mwenyekiti. Natumaini sasa utaachana na uchawa 💯 😂🤣😂🤣Hongera Pascal Mayalla kwa kumtembelea mweyekiti Lissu mahakamani amau sasa kusimama upande wa haki
Hakuna Mwanaccm mwemaPasco ni mtu mwema na muungwana sana!
Alipopata kura moja ya maoni ubunge nilisikitika sana. 😁
Sasa hapo amemtembelea Lissu vipi na nyie bwana?Hongera Pascal Mayalla kwa kumtembelea mweyekiti Lissu mahakamani amau sasa kusimama upande wa haki
Jumapili twende Ukonga tuka m visit TunduHakuna Mwanaccm mwema
Siwezi kuongozana n.a. chawaJumapili twende Ukonga tuka m visit Tundu
TAL ni nabii; yupo mbele ya muda!DUh walifikiri baada ya Risasi ataungana na mashetani
Sema anang'ata na kupuliza mzee wetu! Ila ukimfatilia ukweli anaujua na anajitahidi kuuweka wazi kwenye maandiko yake. Mzee pia kinachomsumbua anafata ile kanuni ya kama mwenye nguvu anakushinda basi ungana nae😅Hongera Pascal Mayalla kwa kumtembelea mweyekiti Lissu mahakamani amau sasa kusimama upande wa haki
Daah nikimuona Lisu akitaabika Nchini kwake ananikumbusha wakina Stive Biko na wenzie walipokua wakipata tabu kwenye Nchi yao hadi kuuawa kabisa enzi za kaburu..Sema anang'ata na kupuliza mzee wetu! Ila ukimfatilia ukweli anaujua na anajitahidi kuuweka wazi kwenye maandiko yake. Mzee pia kinachomsumbua anafata ile kanuni ya kama mwenye nguvu anakushinda basi ungana nae😅
Mzee Pascal Mayalla alimtangulia Mh.Tundu vidato huko Ilboru enzi hizo ..Hongera Pascal Mayalla kwa kumtembelea mweyekiti Lissu mahakamani amau sasa kusimama upande wa haki
Mzee Pascal Mayalla ni miongoni mwa watu wanaoamini Mh.Tundu hana hatia, hawezi kufanya huo uasi/uhuni.Amemtembelea Au alikuwa anampeleleza ili naye awe shahidi wa kificho