Hongera Pascal Mayalla kwa kumtembelea mweyekiti Lissu mahakamani amua sasa kusimama upande wa haki

Hongera Pascal Mayalla kwa kumtembelea mweyekiti Lissu mahakamani amau sasa kusimama upande wa haki
Sema anang'ata na kupuliza mzee wetu! Ila ukimfatilia ukweli anaujua na anajitahidi kuuweka wazi kwenye maandiko yake. Mzee pia kinachomsumbua anafata ile kanuni ya kama mwenye nguvu anakushinda basi ungana nae😅
 

Attachments

  • Facebook_20260220_3.mp4
    5.4 MB
Sema anang'ata na kupuliza mzee wetu! Ila ukimfatilia ukweli anaujua na anajitahidi kuuweka wazi kwenye maandiko yake. Mzee pia kinachomsumbua anafata ile kanuni ya kama mwenye nguvu anakushinda basi ungana nae😅
Daah nikimuona Lisu akitaabika Nchini kwake ananikumbusha wakina Stive Biko na wenzie walipokua wakipata tabu kwenye Nchi yao hadi kuuawa kabisa enzi za kaburu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…