Hongera Pascal Mayalla kwa kuupata Uwakili

Ndio tabia zenu za ki uvccm huwa hamfikirii mnawaka na kulipuka kama mwenzio🤣
Jombaa kosa langu ni lipi , Una stress za nini boss ? Kusema kuwa huyo jamaa skujua kama umri umesonga ndo unaniwakia hvyo ...we kima nini
 
Mwambieni asipotee humu awe anatna na ushauri wa kisheria
 
Daaah...mimi ndo maana huwa sipendi kuwa na mademu humu na nikiwa naye watu hawez jua naficha hisia zangu.... mahusiano ya kimapenzi na watu wa JF yatakufanya ugombane na kila mtu. sometimes uwe unavumilia tu sister. jamaa mbona hajamsema kwa ubaya mtu wako?

Umepaniki bure tu. ila pia nawe usiache mahusiano yakawa yanakuendesha namna hii...maana umetokwa povu kisa Mayalla kasemwa tena wala si kwa ubaya. umepaniki bure tu. nyie wadada huwa hamwezi ku control hisia zenu. mimi nina demu humu na sometime wakurungwa wana ponda mawe ila nacheck tu kama sioni.... ndo sisi wanaume tulivyoumbwa. ila kwa nyie wadada.....sijui..............
 
Safi sana mkuu kwa kushusha makavu live majitu mengine yana tabia za kike mno hapo muulize yeye mwenyw lini kamfahamu Mr Mayala?lengo amdhalilishe tu Kima huyu
 
Hata kama mlizoea kufunga viroba watu na kuwatupia beach,haukupaswa kupanic Kwa alichouliza mwenzio.Easy mjomba,kala chumvi au mdogo bass....ungejibu tu ivo
 
Alianza degree ya sheria 2001 au 2002 na lipikipiki lake kubwa pale mabibo hostel,alivyodisco akukoma akakomaa tena.imemchukua miaka 20 kuwa wakili,kweli tusikate tamaa,
 
Binafsi nampa hongera sana kwa kuaminiwa katika nafasi hiyo! Mabandiko yake nimekuwa nikiyapenda sana ambayo mtu asiyeyaelewa akiyasoma huishia kumtukana.Mabandiko yake yalijaa Fasihi na mafumbo ya hali ya juu.
 
Ili uwe Wakili lazima upitie school of law mwaka mmoja, hapo ndo unaweza pata certificate ya uwakili
Yah,naelewa hilo

Mm nna wakili wangu nguli namuaminia,syo kila wakili ni wakili
Unaweza pitia hyo shule na ukawa
Syo.....
Wakili ni yule anayejua kusimamia taaluma yake,mawakili wengi ni dili dili tu

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…