Hongera Pascal Mayalla kwa kuupata Uwakili

Ndio tabia zenu za ki uvccm huwa hamfikirii mnawaka na kulipuka kama mwenzio🤣
Jombaa kosa langu ni lipi , Una stress za nini boss ? Kusema kuwa huyo jamaa skujua kama umri umesonga ndo unaniwakia hvyo ...we kima nini
 
Naona leo Pacal Mayala ni miongoni mwa Mawakili waliopokelewa na kukubaliwa kuwa Mawakili, tukio lililofanyika katika Ukumbi wa Karimjee huku Jaji Mkuu akiwa ndio Mgeni Rasmi.

Hongera sana Pascal, ila upunguze kuchomekea sifa zingine kama kuwa Mtangazaji wa kwanza kuwa wakili na badala yake acha watu wengine wakusifie(itapendeza zaidi).
Mwambieni asipotee humu awe anatna na ushauri wa kisheria
 
Mawazo ya kimasikini, jealous, ukatili na ushenzi, typical mawazo ya watanzania walioko diaspora, Mr.Mayala anapewa uwakili ndio Habari hapa,tumpongeze na kumtia moyo, wewe shetani umeamua kuangalia in a negative side as if wewe ur growing young, halafu hamchelewi Kuja kulalamika humu kuhusu ajira wakati umejaa roho ya kutu.mtu kama wewe ndio maana mkijichanganya kidogo mnaelekezwa beach mkapate displine
Daaah...mimi ndo maana huwa sipendi kuwa na mademu humu na nikiwa naye watu hawez jua naficha hisia zangu.... mahusiano ya kimapenzi na watu wa JF yatakufanya ugombane na kila mtu. sometimes uwe unavumilia tu sister. jamaa mbona hajamsema kwa ubaya mtu wako?

Umepaniki bure tu. ila pia nawe usiache mahusiano yakawa yanakuendesha namna hii...maana umetokwa povu kisa Mayalla kasemwa tena wala si kwa ubaya. umepaniki bure tu. nyie wadada huwa hamwezi ku control hisia zenu. mimi nina demu humu na sometime wakurungwa wana ponda mawe ila nacheck tu kama sioni.... ndo sisi wanaume tulivyoumbwa. ila kwa nyie wadada.....sijui..............
 
Mawazo ya kimasikini, jealous, ukatili na ushenzi, typical mawazo ya watanzania walioko diaspora, Mr.Mayala anapewa uwakili ndio Habari hapa,tumpongeze na kumtia moyo, wewe shetani umeamua kuangalia in a negative side as if wewe ur growing young, halafu hamchelewi Kuja kulalamika humu kuhusu ajira wakati umejaa roho ya kutu.mtu kama wewe ndio maana mkijichanganya kidogo mnaelekezwa beach mkapate displine
Safi sana mkuu kwa kushusha makavu live majitu mengine yana tabia za kike mno hapo muulize yeye mwenyw lini kamfahamu Mr Mayala?lengo amdhalilishe tu Kima huyu
 
Mawazo ya kimasikini, jealous, ukatili na ushenzi, typical mawazo ya watanzania walioko diaspora, Mr.Mayala anapewa uwakili ndio Habari hapa,tumpongeze na kumtia moyo, wewe shetani umeamua kuangalia in a negative side as if wewe ur growing young, halafu hamchelewi Kuja kulalamika humu kuhusu ajira wakati umejaa roho ya kutu.mtu kama wewe ndio maana mkijichanganya kidogo mnaelekezwa beach mkapate displine
Hata kama mlizoea kufunga viroba watu na kuwatupia beach,haukupaswa kupanic Kwa alichouliza mwenzio.Easy mjomba,kala chumvi au mdogo bass....ungejibu tu ivo
 
Naona leo Pacal Mayala ni miongoni mwa Mawakili waliopokelewa na kukubaliwa kuwa Mawakili, tukio lililofanyika katika Ukumbi wa Karimjee huku Jaji Mkuu akiwa ndio Mgeni Rasmi.

Hongera sana Pascal, ila upunguze kuchomekea sifa zingine kama kuwa Mtangazaji wa kwanza kuwa wakili na badala yake acha watu wengine wakusifie(itapendeza zaidi).
Alianza degree ya sheria 2001 au 2002 na lipikipiki lake kubwa pale mabibo hostel,alivyodisco akukoma akakomaa tena.imemchukua miaka 20 kuwa wakili,kweli tusikate tamaa,
 
Binafsi nampa hongera sana kwa kuaminiwa katika nafasi hiyo! Mabandiko yake nimekuwa nikiyapenda sana ambayo mtu asiyeyaelewa akiyasoma huishia kumtukana.Mabandiko yake yalijaa Fasihi na mafumbo ya hali ya juu.
 
Back
Top Bottom