Hongera Pascal Mayalla kwa kuupata Uwakili

Hongera Pascal Mayalla kwa kuupata Uwakili

Mawazo ya kimasikini, jealous, ukatili na ushenzi, typical mawazo ya watanzania walioko diaspora, Mr.Mayala anapewa uwakili ndio Habari hapa,tumpongeze na kumtia moyo, wewe shetani umeamua kuangalia in a negative side as if wewe ur growing young, halafu hamchelewi Kuja kulalamika humu kuhusu ajira wakati umejaa roho ya kutu.mtu kama wewe ndio maana mkijichanganya kidogo mnaelekezwa beach mkapate displine
Asee kumbe wana diaspora wana mawazo ya kushenzi ee?
 
Kama kawa wakili leo..aisee kwa umri huo ana piga kitabu..amenipa moyo ngoja na mimi nisake elimu zaidi hata nikifia darasani potelea pote.
Kongole kwake.

#MaendeleoHayanaChama
Kwani anaumri gani mkuu? Huenda ikanitia moyo!
 
Upumbavu katika kiwango cha juu,aliyekuambia kuwa mimi ni she ni nani?,je umefanya utafiti gani na ukagundua kuwa mimi ni mwanamke?,iam a straight man,well educated, I lived my life, but I work so smart, Mr.Mayala amepata uwakili guy's let's celebrate and congrats him,umri wake hautuhusu sisi, cha msingi one of our own he achieve lengo lake,je mimi na wewe tumejiwekea malengo gani mwaka huu?,dorororo only to question someone age, hii ni craze
See.... I am still right.according to what you have written nipo sahihi. Why umepanik this much sister? Just calm down.
 
Back
Top Bottom