Nelson Mwombeki
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 2,933
- 3,397
Kwahiyo mke kazaa tayari au ana mimba ya mtoto wa kiumeUmofia Kwenu wana JF,
Ndugu Daudi Albert Bashite Alias Paul Makonda amepata mtoto wa kiume leo.Habari za kuvuja mke wake ana mimba ya kupandikizwa kutoka china zilivuja kwa mara ya kwanza kwenye page ya dada wa taifa.
Hongera sana Paul Makonda.
Kashajifungua mkuu "Habari za kuvuja mke wake ana mimba ya kupandikizwa kutoka china zilivuja kwa mara ya kwanza kwenye page ya dada wa taifa"Kwahiyo mke kazaa tayari au ana mimba ya mtoto wa kiume
Kuumbe, ila artificial insemination ni simple tuu, kitaalamu zaidi, so its ok km ameopt for that, as long as is his babyKashajifungua mkuu "Habari za kuvuja mke wake ana mimba ya kupandikizwa kutoka china zilivuja kwa mara ya kwanza kwenye page ya dada wa taifa"
Zilivuja - Past
Zimevuja - Present.
Zitavuja - Future
ikiwekwa unitagtuone kapicha
Unao ushahidi iwapo utadakwaHuyu ndio alisemwa alitumia gharama za serikali kwenda kupandikiza mtoto India
We..ongea polepole wale jamaa wasiojulikana hao hapo wanapita karibu yako.!Huyu ndio alisemwa alitumia gharama za serikali kwenda kupandikiza mtoto India
Kwani wewe ulimpima na ukajua haogelei?Wewe wakati anajifungua mkewe ulikuwapo hospital au na wewe umesikia?
Ukitaka matusi toka ufipa,hoji mange kuzaa na baba ake.RGforever inabidi ujuwe kitu kimoja kuhusu Mange.....yule dada hajuwi kitu ila anachapisha tu habari anazoletewa na watu ambao wanaweza kuwa wanasiasa, wambea, wanafiki, wachekeshaji tu wa umma, watafuta sifa, ama marafiki wa mtu husika na ndicho kinachomfanya Mange asifike. Si kila habari anayoandika Mange ni ya ukweli, nyingi ni za umbea tu ila yeye kuzaa na baba yake ni ukweli mtupu.
Makonda anaua watu?Mange anaua watu?
Ukitaka matusi toka ufipa,hoji mange kuzaa na baba ake.
hakuna tusi lolote geni mbongo halisi umenena vyemaUkitaka matusi toka ufipa,hoji mange kuzaa na baba ake.
Huyu ndio alisemwa alitumia gharama za serikali kwenda kupandikiza mtoto India
Huu ni udhalilishaji si uishie kupongeza tuu ,mungu ambariki mh Makonda na familia yake ,mtoto akakue kwa kima na hekima kama baba yake huku akiziharibu kazi za yule mwovu shetani.
Jamani mambo ya utu tusiweke mambo binafsi .