Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Ikiwekwa uniite
Picha ikwapi....[emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji53] [emoji53]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Picha ikwapi....[emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji53] [emoji53]
Kwahiyo inaonyesha Mbegu zake hazina mwendo(Mobility) ila risasi zimo ndio maana ikatunga.Alikamuliwa lakini raha ya mimba ufike kileleni bwana.
empty set kabisa hujui maana ya low sperm count so kaa kimyaAmekamuliwa zikapandwa kwenye yai ndiyo mama akachomekwa ana low sperm count ndiyo tatizo lake
Nitakuita madame, tuje tushuhudie masambwanda kama wa babaake.. tehteehhhIkiwekwa uniite
Kwenye zile Tril 1.5 ambazo hazina maelezo, miongoni mwa matumizi ni hiliHuyu ndio alisemwa alitumia gharama za serikali kwenda kupandikiza mtoto India
Raha ya mimba ukojoeNapenda kuchukua nafasi hii kumpongeza kwa dhati Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh Paul Makonda kwa zawadi ya mtoto wa kiume.
Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema akukuzie na akuongoze umpe malezi bora ya kumpendeza yeye.
Hongera sana P Makonda.
Hakika mkuu ndio maana ukizihoji hizo hela wanakuwa wakali kama pilipili mbuziKwenye zile Tril 1.5 ambazo hazina maelezo, miongoni mwa matumizi ni hili
Teh teh teh teh...Ana msabwanda kama wa dingi yake?
shetani ameabika, mungu ni mwema sanaNapenda kuchukua nafasi hii kumpongeza kwa dhati Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh Paul Makonda kwa zawadi ya mtoto wa kiume.
Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema akukuzie na akuongoze umpe malezi bora ya kumpendeza yeye.
Hongera sana P Makonda.
Raha ya mimba ukojoeHakika Mola hamtupi mja wake!
Hongera sana jirani!
Hapo housegirl anaweza kufukuzwa kazi kisa mtoto aliliaTeh teh teh teh...
Najua hajawahi kulea, hapa lazima msambwanda upungue kwa kulea..
Kwanini habari hii iwe mbaya sana kwa dada wa taifa badala ya kuwa habari ya kawaida tu kwake?hahahahaha habari hii mbaya sana kwa Da Mange
KabisaRaha ya mimba uipigie push-ups
Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
Ngoja tusubiri movie zake maana hamna kitakachofichikana hapaHapo housegirl anaweza kufukuzwa kazi kisa mtoto alilia