Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Hadi utiririkwe na jasho pia...Raha ya mimba uipigie push-ups
Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hadi utiririkwe na jasho pia...Raha ya mimba uipigie push-ups
Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
DuuuhhhWabongo washafungua akaunt yake huko Instagram. Yani mtoto ana masaa mawili tuView attachment 811690
Unasema? Game kama kawa all the time🙂🙂🙂🙂🙂🙂Kuna watu wana raha yaani mnalea bila wasiwasi wa kumimbana tena
Kwa sana tuUnasema? Game kama kawa all the time🙂🙂🙂🙂🙂🙂
Kupongeza kwa lipi? acha unafiki wewe! kama unahitaji kupongeza nenda Mwananyamala hospital kawapongeze wale walio bahatika kujifungua katika mazingira hatarishi.wivu ni kitu kibaya sana na cha kuepukwa.
povu la nini sasa kama unashindwa kupongeza pita kimya kimya.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tz ya viwonderWabongo washafungua akaunt yake huko Instagram. Yani mtoto ana masaa mawili tuView attachment 811690
Na Mwsho wa kazi utoe mlio kama wa punda au nguruwe poriHadi utiririkwe na jasho pia...
Kwa hiyo wewe unashauri azembee tuu elimu kwani hata baba alizembea na akabahatika?Umeishiwa pointi
Kule sisi tunaishi kiujanja ujanja tu, tunachojua ni kuswaka ng’ombeKwa hiyo wewe unashauri azembee tuu elimu kwani hata baba alizembea na akabahatika?
shilawadu wetu anasura gani mtujuze... kati ya kichinachina na kisungusunguWale wadangaji Keagan Makonda ndiyo habari ya mjini kwa sasa
kwa kupata zawadi kutoka kwa Mungu kwa wakati muafaka....poleni mtakaokuwa mmepata tabu kwa habari hii.Kupongeza kwa lipi? acha unafiki wewe! kama unahitaji kupongeza nenda Mwananyamala hospital kawapongeze wale walio bahatika kujifungua katika mazingira hatarishi.
Kwani kumsisitiza amsomeshe mwanae kwa bidii asije badili jina kiujanja ujanja baadae ni wivu?
ampe jina la babu yake BASHITTENapenda kuchukua nafasi hii kumpongeza kwa dhati Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh Paul Makonda kwa zawadi ya mtoto wa kiume.
Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema akukuzie na akuongoze umpe malezi bora ya kumpendeza yeye.
Hongera sana P Makonda.
Anaitwa Keagan Makondaampe jina la babu yake BASHITTE
Hahahaha ila wasimwambie ana kibamia tu maana wadada wa bongoWale wadangaji Keagan Makonda ndiyo habari ya mjini kwa sasa
Nani alikuambia kila mtoto ni zawadi? ukikuwa utajuwa nasema nini.kwa kupata zawadi kutoka kwa Mungu kwa wakati muafaka....poleni mtakaokuwa mmepata tabu kwa habari hii.
Keagan Makonda ameshaiona duniaKwani ameshazaliwa huyo mtoto au bado