Hongera Paul Makonda kwa kupata mtoto wa kiume

Hongera Paul Makonda kwa kupata mtoto wa kiume

Jina la ukoo ataitwa nani..!!??

Hili swali ni la maana sana. Tuweke siasa na ushabiki pembeni. Tuache chuki binafsi na kutafakari.

Ikiwa kweli Bwana Paulo Makonda ni yule tunayeambiwa jina lake halisi ni Albert Bashite, na kwamba jina la Makonda analitumia kwa kiapo au kwa taaluma maalum yenye maslahi ya kitaifa, basi jina la ukoo la mtoto siyo Makonda.

Cheo ni dhamana, kuna siku Makonda wa sasa atapenda kurudi kutumia jina lake halisi. Ni vema mtoto asinyimwe haki ya kutumia jina la ukoo wenye damu yake halisi. Zaidi sana, majina makubwa kama ya Makonda baadaye huwatesa sana watoto na wajukuu wanaoyatumia kwa sababu zilizo nje ya uwezo wao.

Liwe fundisho. Ukizaa mtoto au ukaoa mke/kuolewa, jitahidi kutumia jina lako kuliko kurithi jina litakalokupa taabu baadaye.
 
Miye natoa jina amwite BASHITE ila nawaza tu uyo mtoto akiwa mchina itakuwaje maana wachina si watu wazuri.
Bora awe mchina jibu litapatikana, mbaya akimfanana kijakazi wa RC.....
Uuuuuwwwwwiiiiiii.....[emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
hongera mkuu Makonda,

nilisikia uli adopt watoto..wengine...

Mungu akaskia kilio chako,

Mungu akuongoze kumlea mwanao katika njia inayompendeza yeye….amen.
 
36728042_430639927418449_2637048892553691136_n.jpg
36566439_224045988238264_249400281203212288_n.jpg
 
Napenda kuchukua nafasi hii kumpongeza kwa dhati Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh Paul Makonda kwa zawadi ya mtoto wa kiume.

Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema akukuzie na akuongoze umpe malezi bora ya kumpendeza yeye.

Hongera sana P Makonda.

====

View attachment 811757
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amebahatika kupata mtoto wa kwanza na kupitia instagramu yake ameonyesha furaha yake aliyopewa na mungu kwa kupata mtoto wa kiume. Kupitia ukurasa wake wa Istagram Rc Makonda amethibitisha hilo.
Sasa hapa anapaswa kushukuriwa Mungu ama Wachina?
 
Back
Top Bottom