Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Usikute na wewe umezaliwa kwa mitishamba halaf unaleta dharau.....watoto wa karanga mna shida sanaBaada ya wazungu kushindwa mchina kafanikisha,mtoto wetu huyo maana kodi zetu zimetumika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usikute na wewe umezaliwa kwa mitishamba halaf unaleta dharau.....watoto wa karanga mna shida sanaBaada ya wazungu kushindwa mchina kafanikisha,mtoto wetu huyo maana kodi zetu zimetumika
HahahahaBaada ya wazungu kushindwa mchina kafanikisha,mtoto wetu huyo maana kodi zetu zimetumika
Una uhakika gani kama wewe ni mtoto wa huyo unayemuita baba yako?Una hakika gani kama huyo mtoto ni wa makonda?
Nenda kaulizie India mkuu maana huko ndio msingi wa mimba ulikoNaomba niulizie na hospital aliyojifungulia mkuu wakikujibu niambie maana mm sijui.
Mama yangu ndio hakika ila baba sina hakikaUna uhakika gani kama wewe ni mtoto wa huyo unayemuita baba yako?
km umeishi miaka yote ukiamini huyo mwanaume hapo kwenu ndo baba ako huku akikusomesha na kukuletea ugali basi mwache mtoto Keagan naye apate nafasi ya kuamini Kuwa Paul Makonda ndiye baba ake naye afurahie haki ya kuita baba....he is to young kuanza kumvunjia heshima na kuviolate haki yake.....Watz tuache roho za kishetaniMama yangu ndio hakika ila baba sina hakika
Mkuu, wewe ndio Mrs makonda nini?!km umeishi miaka yote ukiamini huyo mwanaume hapo kwenu ndo baba ako huku akikusomesha na kukuletea ugali basi mwache mtoto Keagan naye apate nafasi ya kuamini Kuwa Paul Makonda ndiye baba ake naye afurahie haki ya kuita baba....he is to young kuanza kumvunjia heshima na kuviolate haki yake.....Watz tuache roho za kishetani
Una hakika gani kama huyo mtoto ni wa makonda?
Wewe una hakika gani hao watoto ni wa kwako????Una hakika gani kama huyo mtoto ni wa makonda?
hahahaha ukiwaona tu sura zao mbaya kopi raiti kama mimi baba yaoWewe una hakika gani hao watoto ni wa kwako????