Hongera Paul Makonda kwa kupata mtoto wa kiume

Hongera Paul Makonda kwa kupata mtoto wa kiume

Mtoto amezaliwa South Africa sisi tunaozalia Mwananyala hatuzai watu?
 
Napenda kuchukua nafasi hii kumpongeza kwa dhati Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh Paul Makonda kwa zawadi ya mtoto wa kiume.

Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema akukuzie na akuongoze umpe malezi bora ya kumpendeza yeye.

Hongera sana P Makonda.

====

View attachment 811757
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amebahatika kupata mtoto wa kwanza na kupitia instagramu yake ameonyesha furaha yake aliyopewa na mungu kwa kupata mtoto wa kiume. Kupitia ukurasa wake wa Istagram Rc Makonda amethibitisha hilo.
Huyu mtoto hata wiki hana but ashakuwa hot mitandaoni dooh kuna watoto wanazaliwa na baraka sana......hapo bado hajaonyeshwa sura.....what a popular Kid in town!!
 
Sasa ataelewa uchungu wa mwana, na shida wanazopitia wazazi wengine ambao watoto wao wamekuwa wahanga wa kupotezwa kisa siasa
 
Leo Mhe Paul makonda Amepata Mtoto wa Kiume. Vyovyote utakavyofikiria Ila Mtoto ni wa Makonda.. of course mie sina Mapenzi sana Na Mkuu wa Mkoa Huyu but NajiulizaHawa Watu wawili Jamani wanajisikiaje huko walipo

Unajua Kuzaa Na Kuwa na Watoto ni baraka ila Linapokuja Swala la Mwingine kumtafuta kwa Tabu sana halafu Mtu Mwingine anambeza na Kumtukana na Kujiona Yeye pekee ndo anaweza Kuzaa wengine hawawezi Mungu naye anakuabisha Mwisho wa Siku

Mange Kimambi alikuwa Mstari wa Mbele kumtukana makonda naKumwambia hana Uwezo wa Kuzaa ... Musukuma naye Bungeni lilipoibuka swala la madawa ya Kulevya Alitoa Lugha za Kejeli kwa mkuu wa Mkoa Wa Dar kwamba " Raha Kuzaa Bwanaaaaaa"

Sijui hali zao Zipoje huko baada ya Leo Mkuu huyo wa Mkoa Kupata Mtoto wa Kiume
 
Leo Mhe Paul makonda Amepata Mtoto wa Kiume. Vyovyote utakavyofikiria Ila Mtoto ni wa Makonda.. of course mie sina Mapenzi sana Na Mkuu wa Mkoa Huyu but NajiulizaHawa Watu wawili Jamani wanajisikiaje huko walipo

Unajua Kuzaa Na Kuwa na Watoto ni baraka ila Linapokuja Swala la Mwingine kumtafuta kwa Tabu sana halafu Mtu Mwingine anambeza na Kumtukana na Kujiona Yeye pekee ndo anaweza Kuzaa wengine hawawezi Mungu naye anakuabisha Mwisho wa Siku

Mange Kimambi alikuwa Mstari wa Mbele kumtukana makonda naKumwambia hana Uwezo wa Kuzaa ... Musukuma naye Bungeni lilipoibuka swala la madawa ya Kulevya Alitoa Lugha za Kejeli kwa mkuu wa Mkoa Wa Dar kwamba Raha Kuzaa Bwanaaaaaa

Sijui hali zao Zipoje huko baada ya Leo Mkuu huyo wa Mkoa Kupata Mtoto wa Kiume
Makonda ana mapungufu ila bora kuliko mange na hao wajinga wengine
 
Back
Top Bottom