Mrs Van
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 7,416
- 16,603
Makonda ndio kavaaje naye. Mkewe alipendeza though
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makonda ndio kavaaje naye. Mkewe alipendeza though
Huyu mtoto hata wiki hana but ashakuwa hot mitandaoni dooh kuna watoto wanazaliwa na baraka sana......hapo bado hajaonyeshwa sura.....what a popular Kid in town!!Napenda kuchukua nafasi hii kumpongeza kwa dhati Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh Paul Makonda kwa zawadi ya mtoto wa kiume.
Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema akukuzie na akuongoze umpe malezi bora ya kumpendeza yeye.
Hongera sana P Makonda.
====
View attachment 811757
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amebahatika kupata mtoto wa kwanza na kupitia instagramu yake ameonyesha furaha yake aliyopewa na mungu kwa kupata mtoto wa kiume. Kupitia ukurasa wake wa Istagram Rc Makonda amethibitisha hilo.
Prince of DarHuyu mtoto hata wiki hana but ashakuwa hot mitandaoni dooh kuna watoto wanazaliwa na baraka sana......hapo bado hajaonyeshwa sura.....what a popular Kid in town!!
Makonda ana mapungufu ila bora kuliko mange na hao wajinga wengineLeo Mhe Paul makonda Amepata Mtoto wa Kiume. Vyovyote utakavyofikiria Ila Mtoto ni wa Makonda.. of course mie sina Mapenzi sana Na Mkuu wa Mkoa Huyu but NajiulizaHawa Watu wawili Jamani wanajisikiaje huko walipo
Unajua Kuzaa Na Kuwa na Watoto ni baraka ila Linapokuja Swala la Mwingine kumtafuta kwa Tabu sana halafu Mtu Mwingine anambeza na Kumtukana na Kujiona Yeye pekee ndo anaweza Kuzaa wengine hawawezi Mungu naye anakuabisha Mwisho wa Siku
Mange Kimambi alikuwa Mstari wa Mbele kumtukana makonda naKumwambia hana Uwezo wa Kuzaa ... Musukuma naye Bungeni lilipoibuka swala la madawa ya Kulevya Alitoa Lugha za Kejeli kwa mkuu wa Mkoa Wa Dar kwamba Raha Kuzaa Bwanaaaaaa
Sijui hali zao Zipoje huko baada ya Leo Mkuu huyo wa Mkoa Kupata Mtoto wa Kiume
Unaushahidi gani kwamba Si wake?Una hakika gani kama huyo mtoto ni wa makonda?
Naomba niulizie na hospital aliyojifungulia mkuu wakikujibu niambie maana mm sijui.Una hakika gani kama huyo mtoto ni wa makonda?
Kajinyonge ili usiendelee kumsikia hata kidogo.Mange simpendagi kiivo
Kwani aliyezaa ni mke wa nan? Kama amezaa mke wa makonda basi mtoto ni wa mume wake (makonda)Una hakika gani kama huyo mtoto ni wa makonda?
Wewe ndio mke wake na makonda?Unaushahidi gani kwamba Si wake?