jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Mojawapo ya jukumu la Mkuu wa Mkoa ni kuhakikisha Amani na utulivu unatamalaki.
Mkoa wa Arusha uliwahi kusifika kwa uhalifu na hususani uhalifu nyakati za sikukuu na nyakati za usiku.
Kwa mara ya kwanza katika historia tumejionea Watu wenye haiba mchanganyiko,dini mbalimbali ,vipato tofauti,watoto,vijana na wazee wakisheherekea au wakiukaribisha mwaka katikati ya mji na kati kati ya cape town na cairo bila mtu kuumizwa.
Hii ni new era katika jiji la Arusha.
Jana nimeona machalii wa ngaleloo wakisherehekea mwaka na wahindi wa uzunguni bila shida yoyote.
Mungu akubariki R.C Paul C Makonda.
#KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA