Mimi ni mkaazi wa Arusha ..nina miaka 50+..kwa ubunifu wa RC Makonda nachelea kusema..itakuwa taabu kubwa sana siku akihamishwa ..mzunguko wa fedha umekuwa mkubwa sana na watu tunaongea ' chapaa' kuliko Chadema vs CCM.Mojawapo ya jukumu la Mkuu wa Mkoa ni kuhakikisha Amani na utulivu unatamalaki.
Mkoa wa Arusha uliwahi kusifika kwa uhalifu na hususani uhalifu nyakati za sikukuu na nyakati za usiku.
Kwa mara ya kwanza katika historia tumejionea Watu wenye haiba mchanganyiko,dini mbalimbali ,vipato tofauti,watoto,vijana na wazee wakisheherekea au wakiukaribisha mwaka katikati ya mji na kati kati ya cape town na cairo bila mtu kuumizwa.
Hii ni new era katika jiji la Arusha.
Jana nimeona machalii wa ngaleloo wakisherehekea mwaka na wahindi wa uzunguni bila shida yoyote.
Mungu akubariki R.C Paul C Makonda.
#KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Kwani lazima niwe nimeishi Arusha kujua mwaka mpya huwa kunakuwa au hakuna vurugu??umewahi kuishi Arusha?
Nimetafakari sana hii plan ya Makonda and i guess kama atadumu miaka miwili mitatu, huenda sherehe za kusherekea mkesha wa mwaka mpya kitaifa ikawa ni Arusha, kwa maana watu watakuwa wanakwenda Chuga just kwa celebration hiyo. Ni jambo ambalo limekuwa well Organized kama marekebisho no madogo ambayo can be rectified kwa urahisi sana! Hongera kwake!Mojawapo ya jukumu la Mkuu wa Mkoa ni kuhakikisha Amani na utulivu unatamalaki.
Mkoa wa Arusha uliwahi kusifika kwa uhalifu na hususani uhalifu nyakati za sikukuu na nyakati za usiku.
Kwa mara ya kwanza katika historia tumejionea Watu wenye haiba mchanganyiko,dini mbalimbali ,vipato tofauti,watoto,vijana na wazee wakisheherekea au wakiukaribisha mwaka katikati ya mji na kati kati ya cape town na cairo bila mtu kuumizwa.
Hii ni new era katika jiji la Arusha.
Jana nimeona machalii wa ngaleloo wakisherehekea mwaka na wahindi wa uzunguni bila shida yoyote.
Mungu akubariki R.C Paul C Makonda.
#KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Kwani chadema bado ipi? Nasikia chadema imezimia, itazinduka 21 mwezi huu mbangaizaji atakapokuwa ameshindwa uenyekiti.na watu tunaongea ' chapaa' kuliko Chadema vs CCM.
Kwa hiyo kwingine wamesherehea kwa vurugu?Mojawapo ya jukumu la Mkuu wa Mkoa ni kuhakikisha Amani na utulivu unatamalaki.