Hongera Rais kwa usajili wa alama za vidole, ila tambua kwamba haupo salama!

Private investigator

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2012
Posts
303
Reaction score
287
Haupo salama kwasababu umesajili line kwa alama za vidole.

Huku mtaani wale vendors wanaosajili wanatumia data za watu waliojisajili kwa ku-backup kisha wanasajili line nyingine yenye jina la mtu aliyekwisha kamilisha usajili.

Baada ya hapo wanasajili line nyingine kwa data za mtu kisha inauzwa kwa tsh 3000 kwa mtu asiye na kitambulisho.

Hatari iliyopo kutakuwa na mtu mwingine huko Mbinga anatumia line ya jina lako.

Kwa kifupi tu ni kuwa zoezi la usajili limeshakosa usalama. Sio salama tena. Line zinauzwa zilizosajiliwa kwa majina mengine ya watu. Kesho watakamatwa watu kwa makosa ya mtandao bila hatia.

FINGERPRINT NOT SAFE ANY MORE!

======

Maoni ya wadau

Taifa linaloyapa makampuni binafsi power za kukusanya Fingerprints za watu wake ni taifa lisilojitambua.

Just Imagine Majenerali wa Jeshi, Mabrigadier, Makanali, Macaptain, Makamishna wa polisi, watu wa vitengo vya usalama wa Taifa Fingerprints zao ziwe kwenye database ya kampuni binafsi za simu za Mabeberu. Kuna hatari kubwa zaidi kwa nchi kuliko hii?

Ngoja Intelligence links za nchi hii zianze kuwa busted moja baada ya nyingine huko nje ya nchi kwa sababu ya zoezi lisilo na kichwa wala miguu kama hili.

Kwa watu wa usalama na wakuu wa majeshi unaweza kufake passport zao wakaenda huko nje wakafanya tukio wakarudi, lakini sasa kama fingerprints zao zikiwa ndani ya mifumo ya watu binafsi, Data mining operations zinaweza kufanyika kirahisi na kugundua chain nzima ya wenzao na hivyo kuwezesha Intelligence rings kuwa busted na hivyo kuhatarisha maisha ya hawa watu.
Mtasababisha majasusi wetu hawa waanze kupigwa vyuma mmoja baada ya mwingine huko Kigali, Kampala, Lilongwe, Nairobi n. k mmoja baada ya mwingine kwa sababu kwa hizi data ni rahisi sana kutumika kuidentify watu na kisha kuanza kutambua ring zao!

Nashauri hili Zoezi lisitishwe au Liandaliwe upya ambapo mamlaka ya serikali peke yake kama nida ndo wawe na power za kuchukua na kutunza Fingerprints na siyo kampuni binsfsi
 
Ile ilikua promotion tu Mzee usiamini kila unachokiona ile line saa hizi ipo kwenye dustbin ikulu ndogo chato

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi kuhusu sisi raia wengine?
Usalama wetu uko wapi?
Umeshindwa kujiwazia wewe?
Kuna jambazi liko Tanga linatumia line ya jina lako. Fungua akili yako ndugu.
 
Ya kwake kaitupa lakini ingine inayotumia jina lake ipo mtaani, yapo mapungufu kwenye kusajili line na wasajili huyatumia vizuri kusajili line zingine na kuziuza mtaani
 
Vipi kuhusu sisi raia wengine?
Usalama wetu uko wapi?
Umeshindwa kujiwazia wewe?
Kuna jambazi liko Tanga linatumia line ya jina lako. Fungua akili yako ndugu.
Nafikiri aliaanisha kwamba zoezi zima si salama hata mimi naunga mkono,, so ametumia tukio la Rais ili kuiambia serikali na jamii ziwe macho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ni uongo Mkubwa taharifa zote za usajili huwa zina tumwa online moja kwa moja kwenda TCRA hasa hiyo backup inafnyika je?
Wanacho kifanya wale ma-freelancer (wasajiri) wanakwambia weka alama za vidole kisha utaweka zaidi ya mara moja ,akijadi kukwambia mtandao unasumbua rudia tena huku akisajili linw usizo zijua,mwisho anakwambia imekubali kisha unakuwa umesajiri line yako na zawengine kwa taarifa zako

Ni kweli naunga mkono hoja yako kwa 100% wengi huwambia Network inasumbua ili apate kisingizio cha kukuambia uweke Alama za vidole kwa mara ya pili
 
Wanacho kifanya wale ma-freelancer (wasajiri) wanakwambia weka alama za vidole kisha utaweka zaidi ya mara moja ,akijadi kukwambia mtandao unasumbua rudia tena huku akisajili linw usizo zijua,mwisho anakwambia imekubali kisha unakuwa umesajiri line yako na zawengine kwa taarifa zako

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa maana hiyo unataka kunambia TCRA Mfumo wao ni mbovu hadi unapokea taarifa za lain zaidi ya moja na zote za mtandao mmoja bila shida
 
Back
Top Bottom