Hongera Rais kwa usajili wa alama za vidole, ila tambua kwamba haupo salama!

Hongera Rais kwa usajili wa alama za vidole, ila tambua kwamba haupo salama!

Mkuu unaona mbali, una hoja ya msingi mamlaka husika ziifanyie kazi,

Huwezi uza fingerprint za watu wako kwa kampuni binafsi,
Wamechelewa sana tayari wengi wamepigwa hususani wazee vijana washamba washamba wamasai na watu wasio wajanja wamesajili namba za wengine pasipo kujua, kisingizio kikubwa huwa ni Network na kukuambia urudie kuweka Alama za vidole na hapo ndipo picha huchezwa kwa kusajili line ingine pasipo mhusika kujua chochote, ipo siku watu watafungwa jela kwa matumizi ya Line zenye majina yao kwa matukio yasiyowahusu kabsa.
 
Najuta kusajili line zangu, ningesuburi mpaka siku ya mwisho labda/ naamini serikali itatoa tamko au kusitisha hili zoezi.
Kama uliambiwa kuwa network hakuna rudia kuweka Alama ya vidole kwa mara ya pili ujue ulimsajilia mtu pasipo wewe kujua , hakuna zoezi linakosa kasoro Nchini Tanzania, kila operation huwa na mapungufu yake,
 
Hivi hizi taharifa za Usajili (finger print na n.k) huwa zinaenda kwenye makampuni ya simu au Tcra mbona wa bongo tunakua vilaza kiasi hicho
Wewe ndo KILA.ZA kama Makampuni ndo yanasajili then wanatuma TCRA hizo fingerprints wanashindwaje kubaki na kopi! Hili suala liangaliwe kwa umakini sana ni hatari mno!
 
Kwa Tanzania kila kitu husheheni kasoro nyingi ujanja mwingi, zoezi la usajili line linayo mapungufu mengi sana na kibaya zaidi watakuja kufungwa jela watu kwa makosa ya kimitandao wakati line zilizotumika kufanya uhalifu siyo line zao halisi.
 
Wewe ndo KILA.ZA kama Makampuni ndo yanasajili then wanatuma TCRA hizo fingerprints wanashindwaje kubaki na kopi! Hili suala liangaliwe kwa umakini sana ni hatari mno!
Hii ndiyo Tanzania hakuna kinachoshindikana wabongo kila kitu huwa na Mbinu mbadala
 
Private investigator, Nachofahamu mtu haruhusiwi kuwa na laini zaidi ya moja kwa mtandao mmoja bila kuwepo kwa maombi maalumu ya barua. Kuomba kumiliki laini 2 au zaidi kutoka mitandao mmoja. Unaruhusiwa kumiliki laini zaidi ya moja kutoka mitandao tofauti tu. Embu kafanye utafiti upya ndio uweke thread.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ndo hivyo, TCRA watakomaa na sera ya mtu moja line moja.
Line moja siyo ufumbuzi kwani mtu anayesajiliwa kwa jina lako huwa kwenye line moja pia na ni kampuni hiyo hiyo unayotumia wewe, kumbuka kampuni za Simu ni nyingi na zote zinalipa kodi na si kila kampuni inapatikana kote Nchini ndiyo maana watu huwa na Line za kampuni zingine kulinda mawasiliano pindi wakiwa wilayani vijijini kwenye Tatizo la Network
 
Wewe ndo KILA.ZA kama Makampuni ndo yanasajili then wanatuma TCRA hizo fingerprints wanashindwaje kubaki na kopi! Hili suala liangaliwe kwa umakini sana ni hatari mno!
Mfumo wa tcra hupo connected na mawakala wa makampuni yote ya simu ila saver zinazo tunza na kupokea data zote zipo TCRA na sio voda wala tigo
 
Kama uliambiwa kuwa network hakuna rudia kuweka Alama ya vidole kwa mara ya pili ujue ulimsajilia mtu pasipo wewe kujua , hakuna zoezi linakosa kasoro Nchini Tanzania, kila operation huwa na mapungufu yake,
Halikunitokea nahofu usalama wake tu, Juzi kuna dogo nilimpigia simu akapokea mtu mwingine kabisa akasema yupo Mtwara, wakati dogo yupo Dar, nikakata simu, nikapiga tena kutoka kwenye sms ya dogo, dogo akapokea. Mpaka leo nashindwa kuelewa inakuwaje?
 
Nachofahamu mtu haruhusiwi kuwa na laini zaidi ya moja kwa mtandao mmoja bila kuwepo kwa maombi maalumu ya barua. Kuomba kumiliki laini 2 au zaidi kutoka mitandao mmoja. Unaruhusiwa kumiliki laini zaidi ya moja kutoka mitandao tofauti tu. Embu kafanye utafiti upya ndio uweke thread.

Sent using Jamii Forums mobile app
Njia sahihi ni kupunguza makampuni ya Simu za mkononi mfano sasa Tigo wamemnunu Zantel na kuipunguzi hiyo moja, Voda wawanunue Halotel na TTCL wawanunue Airtel, zibakie kampuni 3 chache za simu kama Uganda, kenya, South Africa, China, America na ulaya ambapo hakuna utitiri wa makampuni ya Simu za mikononi itasaidia kuwadhibiti watumiaji wa simu, kuliko kubuni Mbinu zingine zisizo na Tija kwa Taifa.
 
Halikunitokea nahofu usalama wake tu, Juzi kuna dogo nilimpigia simu akapokea mtu mwingine kabisa akasema yupo Mtwara, wakati dogo yupo Dar, nikakata simu, nikapiga tena kutoka kwenye sms ya dogo, dogo akapokea. Mpaka leo nashindwa kuelewa inakuwaje?
Ujanja ujanja kwenye usajili upo na Tatizo la Tanzania ni kuwa na kampuni nyingi za simu kuliko Taifa lolote Duniani.
 
Back
Top Bottom