Mwelewa tu huyo Manjaa,anaimanisha kuwa atawale milele na kusiwe na chaguzi.Nimeishia hapo akae mpaka atakapomua, sasa akae kama nani kwa kuwa atachaguliwa mwingine, sasa hapo yeye atakuwa anafanya nini?au jengo hilo aachiwe Rais mwingine ajengewe ikulu ingine? Unajuwa sijakuelewa P .
Nyerere hawezi kulinganishwa na Rais yoyote, ni sawasawa na kumlinganisha baba yako mzazi na baba mwingine na kuanza kumsifia kuwa yeye ni bora zaidi. Na ndo maana kila kiongozi anafanya reference kwa Nyerere maana yeye ndio BenchmarkOrodha ya Maraisi wa JMTZ kwa ubora;
1.Mzee Mwinyi
1.Raisi Magufuli
2.Mwalimu Nyerere
3.Mzee Kikwete
4.Mzee Mkapa ( Mkapa ameshuka kuwa wa mwisho sababu ya ubinafsishwaji wa mashirika yetu, kuuza nyumba zetu, Mikataba mibovu ya Madini, Mke wake ktk KLM, mauaji ya Mwembechai na Pemba, ... vinginevyo angeweza kupanda)
Watachinja hivyo ni mbadala wa simba, ecosystem itakamilika.Sijaona Simba wala jamaii ya chui nabkuna Swala wengi sana.. Sasa hapo ecosystem itabalansi vipi?! 😊
Orodha ya Maraisi wa JMTZ kwa ubora;
1.Mzee Mwinyi
1.Raisi Magufuli
2.Mwalimu Nyerere
3.Mzee Kikwete
4.Mzee Mkapa ( Mkapa ameshuka kuwa wa mwisho sababu ya ubinafsishwaji wa mashirika yetu, kuuza nyumba zetu, Mikataba mibovu ya Madini, Mke wake ktk KLM, mauaji ya Mwembechai na Pemba, ... vinginevyo angeweza kupanda)
Ikulu inahamia dodoma, why hawajapelekwa Dodoma ili wazoee mazingira?Wanabodi,
Leo kuna video clip ya Ikulu yetu ya Magogoni imepandisha humu, kiukweli nimekuwa very impressed na ile zoo ya Ikulu na jinsi wanyama walivyopendezea.
Kwenye mazuri wajameni tupongeze: Wanyama pori waipamba Ikulu, Hongera sana Rais Magufuli
Kiukweli hadi raha! Mimi napendekeza Rais Magufuli akae Ikulu hadi pale Mungu atakapoamua!
Sasa tuifanye Ikulu yetu kuwa kivutio cha utalii, vile vizuizi viondolewe, waweke nominal fee watalii hadi wa ndani tutafurika.
Ni muhimu sana rais Magufuli afanye safari muhimu za nje ili kupata exposure, akaone Ikulu ya South inavyofurika, pia aende Ikulu ya White House tena akiandamana na Makonda ili kumkomoa beberu Pompeo!, akaone jinsi wageni wanavyo jivinjari kwenye Ikulu ya White houseya Marekani. Hao wanyama na all the beauty ni bure kama watu hawatembelea na kuchangia upkeep cost.
Na kama hoja ya restrictions ni usalama wa rais, maana naona ulizi wake unakaribia wa Mu7, then Ikulu Zoo iwe open to public zile siku rais yuko Dodoma ambapo pia I hope kutakuwa na Chamwino Zoo. Kiukweli ita-make hata kuliko Chato!
Hongera sana Rais Magufuli kwa kuendelea kumuishi Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere kwa maneno na matendo, pia tunakuombea utawale kwa muda kama wa Nyerere au kwa kukaribiana tu japo vipindi viwili vya miaka 10/10.
P
Pasiko, umeandika vizuri sana na sifa stahili ila tu hapo kwenye kusafiri kwenda nje ndipo umeharibu kila kitu, akajifunze nini kwa mabeberu kwanini wao wasije huku kujifunza ukizingatia hawana wanyama.Wanabodi,
Leo kuna video clip ya Ikulu yetu ya Magogoni imepandisha humu, kiukweli nimekuwa very impressed na ile zoo ya Ikulu na jinsi wanyama walivyopendezea.
Kwenye mazuri wajameni tupongeze: Wanyama pori waipamba Ikulu, Hongera sana Rais Magufuli
Kiukweli hadi raha! Mimi napendekeza Rais Magufuli akae Ikulu hadi pale Mungu atakapoamua!
Sasa tuifanye Ikulu yetu kuwa kivutio cha utalii, vile vizuizi viondolewe, waweke nominal fee watalii hadi wa ndani tutafurika.
Ni muhimu sana rais Magufuli afanye safari muhimu za nje ili kupata exposure, akaone Ikulu ya South inavyofurika, pia aende Ikulu ya White House tena akiandamana na Makonda ili kumkomoa beberu Pompeo!, akaone jinsi wageni wanavyo jivinjari kwenye Ikulu ya White houseya Marekani. Hao wanyama na all the beauty ni bure kama watu hawatembelea na kuchangia upkeep cost.
Na kama hoja ya restrictions ni usalama wa rais, maana naona ulizi wake unakaribia wa Mu7, then Ikulu Zoo iwe open to public zile siku rais yuko Dodoma ambapo pia I hope kutakuwa na Chamwino Zoo. Kiukweli ita-make hata kuliko Chato!
Hongera sana Rais Magufuli kwa kuendelea kumuishi Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere kwa maneno na matendo, pia tunakuombea utawale kwa muda kama wa Nyerere au kwa kukaribiana tu japo vipindi viwili vya miaka 10/10.
P
Wanabodi,

Mfute kabisa huyo namba moja.Orodha ya Maraisi wa JMTZ kwa ubora;
1.Mzee Mwinyi
1.Raisi Magufuli
2.Mwalimu Nyerere
3.Mzee Kikwete
4.Mzee Mkapa ( Mkapa ameshuka kuwa wa mwisho sababu ya ubinafsishwaji wa mashirika yetu, kuuza nyumba zetu, Mikataba mibovu ya Madini, Mke wake ktk KLM, mauaji ya Mwembechai na Pemba, ... vinginevyo angeweza kupanda)
Inahitaji "AKILI KUBWA" kuelewa post za Mayala. Msome vizuri na ujipe muda wa kutafakari.Brother kaa nyumbani cheza na wajukuu kama mjini mishe zimekuwa ngumu maana sasa hivi unandika madudu tupu unajishushia heshima yako, tulikutetea sana kipindi wanakutuhumu umemuza kabendela tulibisha humu mapovu yakatutoka lakini kwa rangi unayotuonyesha sasa ni wazi kabisa sasa unaukasuku
Hatukatai kumsifia mh rais wetu kwa mambo mazuri tunachokataa ni huu ujinga ulioandika huu hapa
(Kiukweli hadi raha! Mimi napendekeza Rais Magufuli akae Ikulu hadi pale Mungu atakapoamua!)
Takataka gani umeandika hapo tena mtu mwenye taaluma ya sheria unaijua katiba vizuri, kiumri unajua mengi umeona mengi sasa umeanza andika utoto kwa uandishi huu tegemea kuikimbia JF maana member wakikuchoka humu utashangaa kila andiko wana wewe mwisho wa siku utaishia kusoma tu yaliyoandikwa na kuichukia JF kama kina musiba na wengineyo
Unatakiwa kuwa na AKILI KUBWA kumuelewa Mayala.Afisa Uchaguzi,
Anaunga mkono vitendo vya Makonda some times huwa simsomi kabsa Paschal
Wanabodi,
Leo kuna video clip ya Ikulu yetu ya Magogoni imepandisha humu, kiukweli nimekuwa very impressed na ile zoo ya Ikulu na jinsi wanyama walivyopendezea.
Kwenye mazuri wajameni tupongeze: Wanyama pori waipamba Ikulu, Hongera sana Rais Magufuli
Kiukweli hadi raha! Mimi napendekeza Rais Magufuli akae Ikulu hadi pale Mungu atakapoamua!
Sasa tuifanye Ikulu yetu kuwa kivutio cha utalii, vile vizuizi viondolewe, waweke nominal fee watalii hadi wa ndani tutafurika.
Ni muhimu sana rais Magufuli afanye safari muhimu za nje ili kupata exposure, akaone Ikulu ya South inavyofurika, pia aende Ikulu ya White House tena akiandamana na Makonda ili kumkomoa beberu Pompeo!, akaone jinsi wageni wanavyo jivinjari kwenye Ikulu ya White houseya Marekani. Hao wanyama na all the beauty ni bure kama watu hawatembelea na kuchangia upkeep cost.
Na kama hoja ya restrictions ni usalama wa rais, maana naona ulizi wake unakaribia wa Mu7, then Ikulu Zoo iwe open to public zile siku rais yuko Dodoma ambapo pia I hope kutakuwa na Chamwino Zoo. Kiukweli ita-make hata kuliko Chato!
Hongera sana Rais Magufuli kwa kuendelea kumuishi Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere kwa maneno na matendo, pia tunakuombea utawale kwa muda kama wa Nyerere au kwa kukaribiana tu japo vipindi viwili vya miaka 10/10.
P
Sijaona cha maana kilicho andikwa zaidi ya pongezi kwa maboresho ya Zoo...hayo mengine ni upupu tu..Inahitaji "AKILI KUBWA" kuelewa post za Mayala. Msome vizuri na ujipe muda wa kutafakari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi upeo wako umeishia hapo, sikulaumu.Sijaona cha maana kilicho andikwa zaidi ya pongezi kwa maboresho ya Zoo...hayo mengine ni upupu tu..
Dongo kubwa sana"Kiukweli ita make hata kuliko Chato!"
Hapo sijaelewa