Hongera Rais Magufuli kwa kulitatua tatizo sugu la mgao wa umeme nchini

Hongera Rais Magufuli kwa kulitatua tatizo sugu la mgao wa umeme nchini

Kwani hoja ya msingi ni kujenga Power plants? Au hoja ni kudhibiti hujuma ambazo zilisababisha mafisadi wanufaike na mgao wa umeme? Au unauliza kama punguani anae tafuta kick.
Jibu maswali niliyokuuliza, kama huna jibu shut up!
 
Kuanzia mwaka 2006 mpaka rais magufuli anaingia madarakani nchi yetu ilikuwa mara kwa mara ikikumbwa na tatizo kubwa la mgao wa umeme. Tatizo ambalo kwa muda mrefu lilikuwa mwiba kwa taifa letu. Vinyozi,wenye saluni za kike, wenye mabaa mpaka wenye viwanda lilikuwa ni tatizo linalowaumiza.

Ulipoingia madarakani ulisema hili tatizo litakuwa kweli mwisho. Na kwa hakika sasa tumesahau. Maana kama umeme ukikatika ujue kuna hitilafu na matengenezo. Lakini sio mgao wa umeme eti kwa sababu umeme hautoshelezi.

Swali ambalo mimi nimejiuliza kichwani kwangu je kwa nini kipindi hicho kulikuwa na mgao wa umeme wa karibu siku tatu au wiki kwa baadhi ya mikoa ? Je ilikuwa ni dili za wauza jenereta? Na wewe ulipoingia ukazibana na sasa umeme unapatikana masaa 24!

Je zilikuwa deal za wajanja wachache kama akina Harbinder Seth na wenzake ili waweze kupata tenda za kuizuia umeme Tanesco na kisha kulipwa malipo ya capacity charges yanayoiumiza Tanesco. Ila wewe ulipoingia ukavunja na mkataba wa Tegeta Escrow.

Au ndio zilikuwa hujuma za watumishi wa Tanesco kwenye hydropower stations ambao walishirikiana na mafisadi ili kufungulia maji yapungue kwenye mabwawa ili umeme usizalishwe kama inavyohitajika. Ila wewe ulilishutukia hili na kuwatimua. Sasa mgao wa umeme sio hadithi tena.

Je, kama hali iko hivi Je JNHPP ikikamilika mambo yatakuwaje?

Jambo linalosikitisha pamoja na mambo mazuri unayoyafanya wafuasi wa Chadema na wanachama wao hawana uzalendo na kukushukuru kwa namna ulivyojitoa ili Tanzania iliyokuwa imepinda inyooke.

Ila nakupa pongezi kwa hili na kwa mantiki hii kura za urais Mungu akipenda utapata 99.5%.
Wapinzani wengi ni mashetani shetani, wengi hawana akili, kila kitu wanapinga, ila uzuri Mwenyezi Mungu anawatandika kwelikweli, wanaimbuka kwa kila jambo, 2020 ikifika wakati wa kampeni lazima wapigwe mawe na wananchi maana hawana jipya
 
Kwani hoja ya msingi ni kujenga Power plants? Au hoja ni kudhibiti hujuma ambazo zilisababisha mafisadi wanufaike na mgao wa umeme? Au unauliza kama punguani anae tafuta kick.
Hilo ndilo Jibu kwake Chige
List yote ya ulaji wa IPTL Mh Magufuli kaivuruga hakuna cha mgao na hakuna wa kutoka, mpaka wakapatane na DPP
 
Kila siku Magufuli wamebaki kupiga kelele kwamba nchi iliharibika! Kila mmoja anafahamu wezi wakubwa nchi hii ni Top Government Officials and High Profile Politicians.... nitajie Mwanasiasa mmoja TU na top government officials mmoja TU ambao wamefikishwa mahakamani kutokana na tuhuma za ufisadi!!
Kila mmoja anajua Ruge na Singh wapo mahabusu almost 3 to 4 years now! Na kila mmoja anajua hawa jamaa hawakwenda pale BoT na vifaru bali walishirikiana na wale wale niliowataja: Top Government Officials and High Profile Politicians.
Jibu kwanza hayo maswali, vinginevyo case closed manake sioni sababu ya ku-argue na watu wasiojibu wasichoulizwa! Sana sana nikikubanisha sana na kushindwa kujibu, huenda ukafanya kama mwenzako... kukimbilia matusi badala ya kujibu hoja!
Naona Jibu umeshalitoa kuwa wale waliotengeneza ulaji kupitia TANESCO wameshavurugwa misheni zao
sina haja ya kuizitaja kwani huo mpango si wa leo ulianza miaka mingi na kilio kilikuwa kwa Watanzania wote, nani atawagusa Richmond, IPTL, PAP, SonGAS nk
tunachozungumzia Mh Magufuli kaleta heshima kwenye umeme
hayo mambo mengine ya Lugola, sukari, samaki waliotupwa baharini, barabara Kimara ni mapungufu machache ambayo hayakuisa Nchi km Umeme
acha hao walioko ndani wasitoke km hawatawataja wenzao
 
Maghufuli alipoingia alitoa onyo kuhusu mgao wa umeme na ukaisha kabisa. Alipoingia tu mama mgao ukarudi. Kumbe mgao wa umeme ni maksudi. Ni hujuma Kwa wananchi. Kwann watu hawaoji kuwa Kwa maghufuli Mbona mgao haukwepo
 
Maghufuli alipoingia alitoa onyo kuhusu mgao wa umeme na ukaisha kabisa. Alipoingia tu mama mgao ukarudi. Kumbe mgao wa umeme ni maksudi. Ni hujuma Kwa wananchi. Kwann watu hawaoji kuwa Kwa maghufuli Mbona mgao haukwepo
kila zama na kitabu chake...
 
Si wanasema TANESCO walikuwa wanatumia mitambo bila kuifanyia sevisi ndio imekufa sasa matokeo yake tunahangaika na mgao😁
 
Serikali ya waoga hii.. uliona wapi waziri anasimama kwa niaba ya tanesco, pia ana lalamika kuibiwa bila kutoa suluhu
 
Si wanasema TANESCO walikuwa wanatumia mitambo bila kuifanyia sevisi ndio imekufa sasa matokeo yake tunahangaika na mgao😁
Kama mitambo iliheshimu kwa tamko la JPM na ikatii bila service basi iko na mapepo. Anahitajika mkemeaji kumbe. Au waliopo sio wa kiroho hawawezi kuikemea. Ova
 
Kwa hili la umeme kweli wangalau amefanya vizuri, sio kwamba haukatiki kabisa, bali haukatiki muda mrefu kama zamani. Hao unaotaka wamshukuru sio wajibu wao kwani rais anafanya hilo kama wajibu wake maana analipwa mshahara. Ila hakuna anayemlaumu kwenye eneo hilo, maana umeme unapatikana kwa asilimia kubwa baada ya watu kuulipia. Kama unataka kumsifia msifie kwa muda wako. Itakuwa wendawazimu kumsifia mzazi aliyemlipia ada mtoto mpaka chuo kikuu huku akimlawiti.
Jinga Wewe
 
Back
Top Bottom