Daraja Makofia
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 729
- 969
Pitia vizuri lines zangu.Ishi kulingana na mazingira na muda..!!
Eti kisa alisema mwaka jana hakuna corona ndp mpaka leo ujue hakuna corona..!! Kwani kipindi china ndo unaanza uo ugonjwa USA, Itary ulikuwepo?
Ukifuatilia nyuzi za vifo kifo kinapigiwa debe kuliko uzima. Awazavyo mtu ndivyo alivyo. Ukiwaza kifo kitakufuata.chukua wagonjwa Wawili mmoja anaamini atakufa mwingine anaamini ni ka shida Kadogo tu katapita. Wa kwanza atakufa MAPEMA Kabla ya wapili.Mzee unmekunywa nini asubuhi yote hii? Nani anaetengeneza wasiwasi? Ni balozi kijazi au maalim seif kwakuwa wao wamefariki?
Thank you for a commentHopeless
Waone ndugu wa karibu, waulize kama wanaona wewe bado ni mzima kichwani.Ukifuatilia nyuzi za vifo kifo kinapigiwa debe kuliko uzima. Awazavyo mtu ndivyo alivyo. Ukiwaza kifo kitakufuata.chukua wagonjwa Wawili mmoja anaamini atakufa mwingine anaamini ni ka shida Kadogo tu katapita. Wa kwanza atakufa MAPEMA Kabla ya wapili...
Usipende kufa kufa Mkuu. Katika kila changamoto kuwa chanya.Duuh.....Kweli 90% ya Watanzania tunaishi kwa Stress kubwa sana iliyochanganyika na uchizi ndani yake.
Sasa huu sini ugonjwa wa ukosefu wa Akili kichwani.[emoji1785][emoji33]
Usa ya Trump ilifanya mzaha mwanzoni lakini matokeo yake ni aibu. China wakafuata sayansi na wakaudhibiti.Huko wanaofuata sayansi mbona ndiko wanakopukutika zaidi!?
Ooohh sorryPitia vizuri lines zangu.
Watakuelewa wachache sana tena wenye akili timamu.Tulipoamua kumuomba Mungu kuhusu janga LA corona akasikia, hatupaswi tena kurudi Nyuma...
Kuna matusi gani hapo?Matusi yoote nimeyaangalia nikakosa moja tu nikanyamaza...
Wapi huko? Inawezekana unaishi kwenye giza la Ujinga.Huko wanaofuata sayansi mbona ndiko wanakopukutika zaidi!?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapa shahawa zilienda bure!
Tangential quote."Hatuwezi kutatua matatizo yetu kwa kujidanganya kuwa hayapo" ~ Mwl. Julius Nyerere
Bahati mbaya hawa ndio wengi, Ugopa wapumbavu wakiwa wengiHapa shahawa zilienda bure!
Hujasoma nilichoandika.Kwani si hakuna ugonjwa unaotusumbua? Kwanini tumsumbue Mungu kwa kuomba atusaidie shida ambayo haitusumbui...
Kuna sauti ikikuambia tukaombe au tinamtegemea Mungu kweli utaisikia. Lakini siyo sauti ya Magufuli. Kamwe huyu Mungu tunayemwabudu Wakristo Mungu wa Abraham, Izaka na Yakobo siye Mungu anayemwabudu Magufuli.Tulipoamua kumuomba Mungu kuhusu janga LA corona akasikia, hatupaswi tena kurudi Nyuma...
Kama mimi vile. Namsamehe bure tu mleta mada. Ila he is stupid!Matusi yoote nimeyaangalia nikakosa moja tu nikanyamaza...