matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
- Thread starter
- #81
Awazavyo mtu ndivyo alivyo.Ulikua hujui, kama wewe unawaza kufa masaa 24 unadhani hio itakuletea niini
Aombaye hupewa.
Hizi ni formula japo kuna specific kesi kwa wanaopumzishwa na mola