matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
- Thread starter
- #61
Bila samahani. Pasingrkuwa na Ban ningeruhusu utukane kabisa. Huwa hainisumbui aisee.Sorry to say this but what you wroti is complete rubbish
Karibu
Bila samahani. Pasingrkuwa na Ban ningeruhusu utukane kabisa. Huwa hainisumbui aisee.Sorry to say this but what you wroti is complete rubbish
Kwa taarifa yako serikali nzima imerudi DarNo offense, ngoja igonge hodi chato.
Huko pote mbali wa karibu yake akikata upepo akili zitamrudiSiku utakapowekwa kwenye friji la Amana Hospital kwa changamoto ya upumuaji ndipo utakapoacha huu upumbavu
Wakiwepo wenye matendo wanne tu nchi nzima hata wenyewe dhuruma wanapata Neema.kijana, imani pasipo matendo hamna kitu, ifanywe kwa vitendo ikiwemo kuishi na kutenda matendo mema. Imani bila matendo mema nisawa na kutwangia maji kwenye kinu au kupigia mbuzi gitaa....
hivi umekula maharage ya wapi we mbwa..we siumesema wanasayansi uchwara wanataka tu kupiga hela kwa Vikinga uchwara nikakuuliza mbona mlikubali dawa za ARV's,chanjo za polio,chanjo za pepo punda,chanjo,nduiWalikubali wakina nani.
Niulize Mimi usiulize ambao hawapo hata suwajui maana hawatajujibu maana hawapo mkuu
Utakuwa mtu wa ajabu kama Hujui clinic zote za watoto hutoa chanjo bure tulizopewa bure na mabeberuWalikubali wakina nani.
Niulize Mimi usiulize ambao hawapo hata suwajui maana hawatajujibu maana hawapo mkuu
talk science not revelations, matunduizi acha talalila, leta ushahidi. hapa hakuna mjadala. DINI NI IMANI na IMANI ni kukiri, bila mashaka yoyote, kuwa jambo fulani ni la kweli kweli kabisa bila USHAHIDI WA KISAYANSI.Hii siijadili.
Maana Mungu hujitambulisha mwenyewe kwa kila kiumbe sio wewe tu hadi magugu ya shambani.
Wote wanaompinga Mungu walianza kusalitiana naye moyoni.
Kupiga Mungu sio kuprove Mimi huwa sijadili huwa naona ni ulimbukeni na kupoteza Muda
Sizungumzii nadharia - nazungumzia hao watu wawili wote wawe WANA covid-19. Achana na habari ya "anaamini". Mindset tunayopaswa kuwa nayo ni hii - "covid-19 inaua, tujikinge". na matendo yetu yashirikiane na hiyo mindset.Mimi natoa kanuni ya asili. Sipigi kelele...
SawaTafouti yetu na mataifa mengine kwenye kupambana na COVID 19 ni kuwa hili suala linatazamwa sana kwa mlengo wa kisiasa.......watawala wanahofia kuwa kukiri hadharani kunaweza kuwaletea anguko la kisiasa....huku wapinzani wakilitumia kama kete ya kujikuza kisiasa..........huku wananchi tukiangamia........
Mimi sizungumzii nadharia nazungumzia kanuni.Crap!! Sizungumzii nadharia - nazungumzia hao watu wawili wote wawe WANA covid-19. Achana na habari ya "anaamini". Mindset tunayopaswa kuwa nayo ni hii - "covid-19 inaua, tujikinge"...
Ulichoandika kinakera haswa kwa sisi tuliopoteza wapendwa wetu kutokana na janga hili. Kama mimi umenikwaza sana.Nyie msio wastahimilivu kupokea maoni tofauti ndio mnafanya jf ionekane ni yawavuta bangi.
Sasa cha ajabu nini hapo hadi utukane.
Haya ni mafunuo yangu toa yako kupinga haya. Usiwe too emotional, utakufa kwa hofu usingizie corona, kumbe stress nyingine mnajitengenezea kwa uchanga wa kujadili
Mkuu unaniangusha.talk science not revelations, matunduizi acha talalila, leta ushahidi. hapa hakuna mjadala. DINI NI IMANI na IMANI ni kukiri, bila mashaka yoyote, kuwa jambo fulani ni la kweli kweli kabisa bila USHAHIDI WA KISAYANSI.
Samahani sana Mkuu.Ulichoandika kinakera haswa kwa sisi tuliopoteza wapendwa wetu kutokana na janga hili. Kama mimi umenikwaza sana.
Mkuu,Tulipoamua kumuomba Mungu kuhusu janga la corona akasikia, hatupaswi tena kurudi nyuma...
Ulikua hujui, kama wewe unawaza kufa masaa 24 unadhani hio itakuletea niiniMakubwa haya tena Sheikh. Kumbe kinachoua sio corona ni ulimi wa MTU.