Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,923
- 95,765
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huu ndio UJINGA ambao siutaki.bado wewe na itakupiga tu maana unajitoa ufahamu. It is a matter of time
Anadhania sio anazania.Mkuu watu wanamna hiyo ni kuwasame tu. Huenda anazani teuzi bado zipo
Kwa hiyo leo ameshakiri kuwa ugonjwa upo?. Kama baba wa taifa hili ameshageuza ile kauli alotuambia tulime tuwauzie chakula wenye corona waliojifungia?Ishi kulingana na mazingira na muda..!!
Eti kisa alisema mwaka jana hakuna corona ndp mpaka leo ujue hakuna corona..!! Kwani kipindi china ndo unaanza uo ugonjwa USA, Itary ulikuwepo?
Mkuu nimekukubali sana.Hofu ya kifo huzaa kifo.....kwa Mkristo hutakiwi kukiogopa kifo kama kweli unauamini na kuuelewa ukristo maana aliepanga akupe huo uhai ni huyohuyo atakae toa huo uhai wako
Sikiliza ukiwa na mentality ya uzima na ukafanya shughuli na kuishi lifestyle ya kuusuport Hewa sio tishio.Kumbuka Imani ya uzima haiambukizwi kwa njia ya hewa
Wale wanaojiita wanasayansi ni wapiga madili tu. Wanataka kupiga pesa kwa vikinga uchwara. Kwanza kinga angalau wapewe wagonjwa na wazee.Huko wanaofuata sayansi mbona ndiko wanakopukutika zaidi!?
kanuni mwitu hizi mkuu Kama ndo hivo watu waliooishi Karne ya pili wangekua hai mpaka leoSikiliza ukiwa na mentality ya uzima na ukafanya shughuli na kuishi lifestyle ya kuusuport Hewa sio tishio...
Sasa mbona mlikubali Kinga za ndui,polio,pepo punda na madawa ya ARV's ambayo yalitengenezwa na hao hao wanasayansi ambao ni wapiga madili?Wale wanaojiita wanasayansi ni wapiga madili tu. Wanataka kupiga pesa kwa vikinga uchwara. Kwanza kinga angalau wapewe wagonjwa na wazee...
Mimi naandika kanuni za maisha ambazo hata mama kizaa bibi kizaa bibi unayemuita jiwe kazikuta.Huyu ni mbuzi tuu....Jiwe akibadilika na lenyewe linabadilika kama mkate.... mumeo ana tabu sana...yaan subiri vifo vukukute kwa ndugu wa kawaida ndo utajiona una takataka kichwni
Na bahati mbaya kabisa ndio hao hao wanapata hata nafasi na uwezo wa kusema mambo ya aibu hivi!! Hajui hata wanaokufa wanatamani uhai! Kujaribu kubaki hai for as long as possible ndio lengo kuu la binadamu.Duh, the type of people like hawa nao tunawaita wasome,
Aisee kama ww ni mojawapo bas......
Hopeless kabisa
Walikubali wakina nani.Sasa mbona mlikubali Kinga za ndui,polio,pepo punda na madawa ya ARV's ambayo yalitengenezwa na hao hao wanasayansi ambao ni wapiga madili?
iambie mind set yako ikupe hiyo 100k au mwambie Mungu akushushie kutoka mbinguniSikiliza ukiwa na mentality ya uzima na ukafanya shughuli na kuishi lifestyle ya kuusuport Hewa sio tishio..
Mimi natoa kanuni ya asili. Sipigi kelele.Na bahati mbaya kabisa ndio hao hao wanapata hata nafasi na uwezo wa kusema mambo ya aibu hivi!! Hajui hata wanaokufa wanatamani uhai! Kujaribu kubaki hai for as long as possible ndio lengo kuu la binadamu...
kijana, imani pasipo matendo hamna kitu, ifanywe kwa vitendo ikiwemo kuishi na kutenda matendo mema. Imani bila matendo mema nisawa na kutwangia maji kwenye kinu au kupigia mbuzi gitaa.Tulipoamua kumuomba Mungu kuhusu janga LA corona akasikia, hatupaswi tena kurudi Nyuma...