matunduizi JF-Expert Member Joined Aug 20, 2018 Posts 9,514 Reaction score 23,523 Feb 18, 2021 Thread starter #81 whyme said: Ulikua hujui, kama wewe unawaza kufa masaa 24 unadhani hio itakuletea niini Click to expand... Awazavyo mtu ndivyo alivyo. Aombaye hupewa. Hizi ni formula japo kuna specific kesi kwa wanaopumzishwa na mola
whyme said: Ulikua hujui, kama wewe unawaza kufa masaa 24 unadhani hio itakuletea niini Click to expand... Awazavyo mtu ndivyo alivyo. Aombaye hupewa. Hizi ni formula japo kuna specific kesi kwa wanaopumzishwa na mola
Mgonga Like JF-Expert Member Joined Mar 30, 2015 Posts 1,256 Reaction score 1,663 Feb 18, 2021 #82 matunduizi said: Anadhania sio anazania. Sitaki wala sitegemei mambo yenu ya kuteuliwa. Mimi nimeshajiteua kwenye mambo yangu. Siko available. Acha hisia potofu Click to expand... 🙏
matunduizi said: Anadhania sio anazania. Sitaki wala sitegemei mambo yenu ya kuteuliwa. Mimi nimeshajiteua kwenye mambo yangu. Siko available. Acha hisia potofu Click to expand... 🙏