Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,718
- 3,465
Mama is God chosen one.
Sent straight from Heaven.
She is a special gift to Tanzanians, Africans and all humanity.
[emoji124][emoji124]
View attachment 2192082
Mkuu Bulesi, I'd like to differ, though she was the VP in the previous regime, apart from a collective responsibility clause, she was not part and parcel of what was going on, ndio maana amefanya about turn.She is partly responsible for the failure of the state and she does not seem to know how to get out of the woods!!
Hili la Americans, huyu ndie baniani mbaya wetu, lazima tumkumbatie kwasababu kiatu chake dawa!.Waamerika sio watu wazuri kuwazoea kwani watakuthamini pale tu wanapokuwa wanakutumia baada ya hapo wanakutosa!! Mama sidhani kama analijua hilo. She should acquint herself with history.
Mkuu Pulchra, Pulchra Animo , Please no!, usitufananishie na Lusiferi!. Japo sio malaika, and she is not what she looks, lakini sisi heart readers, tumemsoma moyo wake, she has a kind loving heart,Lucifer was once an archangel until one day, when everything changed. That hypocrite woman is worthless ab initio!
Mkuu Bulesi, I'd like to differ, though she was the VP in the previous regime, apart from a collective responsibility clause, she was not part and parcel of what was going on, ndio maana amefanya about turn.
Pia it's true, she doesn't know how to get out but she is a good listener, hivyo sisi tunaojua, as role of good citizenship, we have a fiduciary responsibility to help out, tumsaidie aweze.
Hili la Americans, huyu ndie baniani mbaya wetu, lazima tumkumbatie kwasababu kiatu chake dawa!.
P
Kwa hyo ww kwa akili yako unajua kuwa Tanzania haifahamiki?Itaitambulisha Tanzania kwa wageni ambao hawaifahamu nchi yetu,na kukiza utalii.
Utalii imeajiri vijana wengi sana kama madereva waongoza watalii,mahotelia na idara nyingine nyingi
Hizi Siasa sa kufocus attention kwa kila rais anayeingia madarakani ni tatizo kubwa sana.I f you know the meaning of collective responsibility then you cannot exonerate her from the decisions that were taken when she held the number two spot.
Wananchi hatuwezi kawa FIDUCIARY kwa RAIS, if I understand the meaning of the word, The president has a FIDUCIARY responsibility to the citizens by taking their interest first and not her own interests!
Inaelekea washauri wake hawana motive nzuri na Taifa letu maana sio kawaida mtu kukosea mara nyingi kwa wakati mfupi.Huyu mama anaonekana ana roho nzuri na nia nzuri kwa watanzania, ila sina uhakika kama anajua namna ya kututoa kwenye majanga yetu ya umaskini na ujinga, na wasaidizi/washauri wake nao inaonekana wana motive zao au not very smart, hopefully atafanikiwa maana tutafanikiwa wote
Kwa mujibu wa katiba yetu, rais wa JMT anaweza tuu kushauriwa na yeyote, wasaidizi wake, wamshauri wake, baraza la Mawaziri, lakini kwenye kufikia maamuzi, ni yeye kama yeye, halazimiki kufuata ushauri wa yeyote, hivyo hata kama Samia alikuwepo kwenye cabinet ya JPM na uamuzi uliofikiwa kwenye kila jambo ulihesabika ni uamuzi wa pamoja, lakini all the responsibilities and the consequences of uamuzi huo, lies with the president kwasababu ndie the final decision maker na the responsible one, wengine wote wanatekeleza Kwa niaba ya Rais wa JMT.I f you know the meaning of collective responsibility then you cannot exonerate her from the decisions that were taken when she held the number two spot.
Fiduciary relationship, ni mahusiano yenye kuwajibika kisheria, kama mzazi na mtoto, mwalimu na mwanafunzi, padri na muumini, daktari na mgonjwa, mfungwa na Bwana jela, etc, hivyo kwenye good citizenship, Samia kama rais wetu, has a duty of care kututumikia, na sisi kama raia wema tuna wajibu wakumsaidia as a duty of care ili aweze. Mimi part yangu ni kwa kuongea kwenye vipindi vyangu, na Kwa kutumia kalamu yangu kama kuandika humu na kwenye makala zangu,na wewe kwenye sehemu yako, and together we can if everyone will play his part. Play your Part.Wananchi hatuwezi kawa FIDUCIARY kwa RAIS, if I understand the meaning of the word, The president has a FIDUCIARY responsibility to the citizens by taking their interest first and not her own interests!
Mkuu Pulchra, Pulchra Animo , Please no!, usitufananishie na Lusiferi!. Japo sio malaika, and she is not what she looks, lakini sisi heart readers, tumemsoma moyo wake, she has a kind loving heart,
Naomba kanisome hapa
Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!”
everything I said about this lady, its true!.
P
Vivyo hivyo kwa Samia, japo alikuwa ndie number 2 wa JPM, na alikuwa sehemu ya maamuzi ya pamoja ya JPM, lakini kuna mambo yaliyokuwa yanafanyika, yalikuwa sio, na alikuwa hakubaliani nayo, lakini anayanyamazia kwa kutungwa na kipengele cha uamuzi wa pamoja lakini sasa baada ya yeye kuwa ndiye number 1, top, ameyafumua fumua na kuyatosa.
That is the meaning and purpose of a collective responsibility, hata kama hukubalia ni either unanyamaza, or you work out. Mama aliamua kunyamaza na ndipo Sir Godi akafanya yake. Angejiuzulu, unajua JPM angempa nani?. Lingetokea la kutokea na pale sio Mama, unajua ingekuwaje?. Mwacheni Mungu aitwe Mungu!, anaipenda Sana Tanzania.Kwenye nchi inayoheshimu utawala bora na watu sio wanafiki unapokuwa hukubaliani na uamuzi wowote ule , unachukua uamuzi wa busara na UNAJIUZURU as a sign of not being a part of the decision taken. Usipojiuzuru maana yake umekubaliana na uamuzi!
Pascal mimi siku zote nilidhani kuwa unafahamu siasa za nchi hii kumbe sivyo! Kwani Jiwe ndiye alimchagua Samia KUWA mgombea mwenza au alichaguliwa na wakina Kikwete baada ya kuona watu wao hawakupenya?That is the meaning and purpose of a collective responsibility, hata kama hukubalia ni either unanyamaza, or you work out. Mama aliamua kunyamaza na ndipo Sir Godi akafanya yake. Angejiuzulu, unajua JPM angempa nani?. Lingetokea la kutokea na pale sio Mama, unajua ingekuwaje?. Mwacheni Mungu aitwe Mungu!, anaipenda Sana Tanzania.
P
Inawezekana ni kweli sizifahamu siasa za nchi hiiPascal mimi siku zote nilidhani kuwa unafahamu siasa za nchi hii kumbe sivyo!
Kiukweli hili sikulijuaKwani Jiwe ndiye alimchagua Samia KUWA mgombea mwenza au alichaguliwa na wakina Kikwete baada ya kuona watu wao hawakupenya?.
This might be true, Ila kuna kitu mimi nakijua cha why ni Magufuli, ambacho sii wengi wanakijua na nilipo kisikia tuu ile 2014 nilishuka na uzi huu humu JF Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe MagufuliMagufuli was an outsider hivyo ilibidi awekewe mtu ambae angelinda maslahi ya ccm ASILI!! Hivyo ingawa Kikwete alikuwa nje ya serikali lakini kwa kupitia kwa Samia alikuwa anapata tarifa zote za ndani ya serikali [ VIGOGO]!!
Mkuu Bambushka , Mama sio mtu wa Makuu, ni mtu wa kimya kimya, madeni kalipa yote, kimya kimya, Kwa sasa hatudaiwi popote na yeyote!. Deni kichefuchefu la mwisho ni deni la tozo ya Dowans, tumelipa lote. Simbion pia alitushitaki, sio tuu tume settle bali hadi ile mitambo, tumeinunua, ni mali yetu.Haaa haaa jeifu jukwaa huru. Ila wadeni wa serikali si wangeidaka hiyo dreamliner!? Halafu wabongo wapenda mserereko wangeaibika, unafikiri wangerudije nyumbani!? Kwa kuzamia MAERSK!?
Nimelisoma bandiko lako la mwaka 2015 kuhusu tetezi zilizoenea kuhusu Magufuli kuwa mgombea wa URAIS wa ccm. Uliambiwa sababu za Magufuli kupendekezwa lakini hukuziamini lakini baadae akaja teuliwa KUWA mgombea; hivyo hii ilionesha kuwa huzijui siasa za ccm!!Inawezekana ni kweli sizifahamu siasa za nchi hii
Kiukweli hili sikulijua
This might be true, Ila kuna kitu mimi nakijua cha why ni Magufuli, ambacho sii wengi wanakijua na nilipo kisikia tuu ile 2014 nilishuka na uzi huu humu JF Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli
ukilisoma bandiko hilo huku umetulia ndio utajua kama nazijua siasa za nchi hii ama sizijui.
P