Hongera Rais Samia Kuzindua Filamu ya Royal Tour Marekani, Ingenoga Zaidi Kama Mama Angetua Marekani na Dreamliner Full of Wabongo!

Hongera Rais Samia Kuzindua Filamu ya Royal Tour Marekani, Ingenoga Zaidi Kama Mama Angetua Marekani na Dreamliner Full of Wabongo!

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
53,857
Reaction score
121,995
Wanabodi
Hii ni Makala ya Jumapili ya Jana.
Screen Shot 2022-04-18 at 6.28.49 PM.png
Screen Shot 2022-04-18 at 6.45.26 PM.png

Hongera Rais Samia Kuzindua Filamu ya Royal Tour Marekani, Ingenoga Zaidi Kama Mama Angetua Marekani na Dreamliner Full of Wabongo!.
Usikose kuangalia uzinduzi huu mubashara kuanzia Saa ,1:30 usiku huu kwa saa za Marekani ambapo tumepishana masaa 7, hivyo kwa Tanzania itakuwa ni saa 8:30 usiku.
  1. Kwa sasa sekta ya utalii ndio sekta ya pili Kwa kuingiza Sana fedha za kigeni, na baada ya uzinduzi huu, sekta ya utalii ndio itaongoza.
  2. Tanzania ndio nchi inayoongoza Kwa vivutio vingi vya asili vya utalii, tatizo ni tulikuwa, hatujitangazi. Sasa ndio tunatangaza.
  3. Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ametuleta New York na kujikumbusha enzi zake za utangazaji, akimhoji Msemaji Mkuu mstaafu wa serikali, Dr. Hassan Abasi.
  4. Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya filamu ya Royal Tour, Dr. Hassan Abbas amemsema uzinduzi utahudhuriwa na wageni mashuhuri 400 akiwemo Mayor wa Jiji la New York.
Paskali.
NB. Hili ni Bandiko mwendelezo
Bandiko la kwanza ni hili.
Bandiko la pili
 
Huko Marekani celebrities ndio wenye ushawishu kuliko wanasiasa.

Hapo mama angebaki nyumbani tu kazi awape wenye kazi yao.

Watu kama kina Lebron James na wa aina yake , ingekua rahisi zaidi.

Ila hivi sidhani kama tutafanikiwa kwa kiwango kinachotakiwa.

Halafu pia Rais angetumia influence ya kikwete awaombe ubalozi wa marekani waondoe hizo damaging information kwenye page yao.

Maana juhudi zote zitakua sawa na kazi bure.
Screenshot_20220413-232427.png
 
Itaitambulisha Tanzania kwa wageni ambao hawaifahamu nchi yetu,na kukiza utalii.
Utalii imeajiri vijana wengi sana kama madereva waongoza watalii,mahotelia na idara nyingine nyingi
Huyo anafikiri kwa sababu yeye anashinda mashambani anafikiri watanzania wote ajira yao ni .mashamba tu kwa hiyo hawezi kuona umuhimu wa hicho anachofanya mh.Rais
 
Huko Marekani celebrities ndio wenye ushawishu kuliko wanasiasa.

Hapo mama angebaki nyumbani tu kazi awape wenye kazi yao.

Watu kama kina Lebron James na wa aina yake , ingekua rahisi zaidi.

Ila hivi sidhani kama tutafanikiwa kwa kiwango kinachotakiwa.

Halafu pia Rais angetumia influence ya kikwete awaombe ubalozi wa marekani waondoe hizo damaging information kwenye page yao.

Maana juhudi zote zitakua sawa na kazi bure.View attachment 2192102

Sasa wakiondoa hizo damaging information halafu watu wao wakipata matatizo watasemaje?
 
Huko Marekani celebrities ndio wenye ushawishu kuliko wanasiasa.

Hapo mama angebaki nyumbani tu kazi awape wenye kazi yao.

Watu kama kina Lebron James na wa aina yake , ingekua rahisi zaidi.

Ila hivi sidhani kama tutafanikiwa kwa kiwango kinachotakiwa.

Halafu pia Rais angetumia influence ya kikwete awaombe ubalozi wa marekani waondoe hizo damaging information kwenye page yao.

Maana juhudi zote zitakua sawa na kazi bure.View attachment 2192102

Kwa hiyo USA nao wanatusagia chupa kwenye huu utalii. Yule binti Mnaigeria kwenye sakata lake la kutaka kubakwa kahusisha Warusi mke na mumewe aliokimbilia chumbani kwao kujiokoa. Hivi vitu haviwezi kuwa vya kubahatisha. Sera yetu ya mambo ya nje ya kuwa vuguvugu iangaliwe.
 
... picha la kitanzania linazinduliwa Marekani badala ya Tanzania; hii imekaaje?

And why kwa beberu Mkuu Marekani? Mnataka kuwaambua nini warusi wa Buza na wachina wa Kwa Mpalange vyama vyao rafiki na chama letu pendwa?
 
Huko Marekani celebrities ndio wenye ushawishu kuliko wanasiasa.
Muda wa kuwatumia celebs utafika na watatumika.
Hapo mama angebaki nyumbani tu kazi awape wenye kazi yao.
Mama anafungua nchi, mwache afungue
Watu kama kina Lebron James na wa aina yake , ingekua rahisi zaidi.
Wakati wao ukifika watatumika hadi Will Smith.
Ila hivi sidhani kama tutafanikiwa kwa kiwango kinachotakiwa.
Jee umeishakijua kiwango ambacho ni anticipated?. Why being a pessimist?. Stop this pessimism, be optimistic, stop negativity, be positive.
Halafu pia Rais angetumia influence ya kikwete awaombe ubalozi wa marekani waondoe hizo damaging information kwenye page yao.
Samia ndie Rais wa JMT, tuna Wizara ya MFA, ubalozi wa Marekani unawajibika kwake kupitia MFA, Yaye ndiye Rais, JK sio rais, sio Waziri, sio balozi, why use him?.
Maana juhudi zote zitakua sawa na kazi bure.
Just be optimistic, be positive.
P
 
Wangewapa hiyo kazi wale madogo wa tiktok Charlie,khaby lame wangeitangaza sana wale ni influencer wakubwa kwasasa au wangewaalika au waiweke Netflix pia 🙂
 
Muda wa kuwatumia celebs utafika na watatumika.

Mama anafungua nchi, mwache afungue

Wakati wao ukifika watatumika hadi Will Smith.

Jee umeishakijua kiwango ambacho ni anticipated?. Why being a pessimist?. Stop this pessimism, be optimistic, stop negativity, be positive.

Samia ndie Rais wa JMT, tuna Wizara ya MFA, ubalozi wa Marekani unawajibika kwake kupitia MFA, Yaye ndiye Rais, JK sio rais, sio Waziri, sio balozi, why use him?.

Just be optimistic, be positive.
P
Mzee hayo majibu ndio plan ya serikali au umejibu tu kutokana na uelewa wako??

Na kŵanini ufanye conclusion kwamba nina mawazo hasi as if mimi ndio nimeweka hiyo information kwenye website ya ubalozi wa marekani??

Kwanini lakini mnaogopa sana kuambiwa ukweli.

Kwanini lakini??

Au mnataka tudanganyane tu kuwa kila kitu kipo sawa wakati kiuhalisia haiko hivyo.

Hiyo ndio hypocrisy!
 
Mama is God chosen one.

Sent straight from Heaven.

She is a special gift to Tanzanians, Africans and all humanity.
Rais Samia, katika mengi anafanya vizuri. Lakini, tafadhali sana, msipende kumsifia kiasi cha kupitiliza, hasa kwa kuzihusisha mamlaka za mbinguni.

"Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia. Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, BWANA, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu"

Tusimfanye Samia kuwa sanamu ya kuchonga, tukaisifia kupita kiasi na, tukajikuta tunamsujudia. Samia, licha ya kuwa Rais, bado ni mwanadamu. Atatenda mema kama mwanadamu, hawezi kuwa malaika. Kama anafanya vizuri sana, basi iwe kwa utukufu wa Mungu, siyo wake. Aililie zaidi hekima, wala asiegemee kwenye ulinzi wa bunduki za akina Kingai. Akina Kingai bado ni wanadamu, hawana uwezo wa kumzidishia hata sekundi moja ya maisha yake ya hapa Duniani.
 
Back
Top Bottom