Hongera Rais Samia Kuzindua Filamu ya Royal Tour Marekani, Ingenoga Zaidi Kama Mama Angetua Marekani na Dreamliner Full of Wabongo!

Mkuu Bambushka , Mama sio mtu wa Makuu, ni mtu wa kimya kimya, madeni kalipa yote, kimya kimya, Kwa sasa hatudaiwi popote na yeyote!. Deni kichefuchefu la mwisho ni deni la tozo ya Dowans, tumelipa lote. Simbion pia alitushitaki, sio tuu tume settle bali hadi ile mitambo, tumeinunua, ni mali yetu.
P

Una uhakika KUWA lile deni la MLEBANONI aliyewakodishia ATCL ndege mbovu ana ya AIRBUS limelipwa? Kwani huyu ndiye anaewinda kukamata ndege zikienda Uingereza.!!
 
Nimelisoma bandiko lako la mwaka 2015 kuhusu tetezi zilizoenea kuhusu Magufuli kuwa mgombea wa URAIS wa ccm. Uliambiwa sababu za Magufuli kupendekezwa lakini hukuziamini lakini baadae akaja teuliwa KUWA mgombea; hivyo hii ilionesha kuwa huzijui siasa za ccm!!
Ni mwaka 2014.
Itakuwa ni kweli sizijui siasa za CCM.
P
 
Una uhakika KUWA lile deni la MLEBANONI aliyewakodishia ATCL ndege mbovu ana ya AIRBUS limelipwa? Kwani huyu ndiye anaewinda kukamata ndege zikienda Uingereza.!!
Madeni yote yamelipwa, Tanzania hatudaiwi na yeyote madeni chechefu.
ATC iko free kuruka popote, kutua popote, Jana Dallas wameongezeka kwenye mkataba wa anga huria.
P
 
... picha la kitanzania linazinduliwa Marekani badala ya Tanzania; hii imekaaje?

And why kwa beberu Mkuu Marekani? Mnataka kuwaambua nini warusi wa Buza na wachina wa Kwa Mpalange vyama vyao rafiki na chama letu pendwa?
Wakikujibu nitag plz
 
Mkuu Bambushka , Mama sio mtu wa Makuu, ni mtu wa kimya kimya, madeni kalipa yote, kimya kimya, Kwa sasa hatudaiwi popote na yeyote!. Deni kichefuchefu la mwisho ni deni la tozo ya Dowans, tumelipa lote. Simbion pia alitushitaki, sio tuu tume settle bali hadi ile mitambo, tumeinunua, ni mali yetu.
P
Hili jema Sana!

Nilifikiri bado. Tunarukaruka Ka bisi motoni, tukiwakwepa wadeni wetu!
Asante Mkuu P SNR kwa taarifa.
 
Wanabodi
Hii ni Makala ya Jumapili ya Jana.
View attachment 2192033View attachment 2192060
Hongera Rais Samia Kuzindua Filamu ya Royal Tour Marekani, Ingenoga Zaidi Kama Mama Angetua Marekani na Dreamliner Full of Wabongo!.
Usikose kuangalia uzinduzi huu mubashara kuanzia Saa ,1:30 usiku huu kwa saa za Marekani ambapo tumepishana masaa 7, hivyo kwa Tanzania itakuwa ni saa 8:30 usiku.
  1. Kwa sasa sekta ya utalii ndio sekta ya pili Kwa kuingiza Sana fedha za kigeni, na baada ya uzinduzi huu, sekta ya utalii ndio itaongoza.
  2. Tanzania ndio nchi inayoongoza Kwa vivutio vingi vya asili vya utalii, tatizo ni tulikuwa, hatujitangazi. Sasa ndio tunatangaza.
  3. Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ametuleta New York na kujikumbusha enzi zake za utangazaji, akimhoji Msemaji Mkuu mstaafu wa serikali, Dr. Hassan Abasi.
  4. Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya filamu ya Royal Tour, Dr. Hassan Abbas amemsema uzinduzi utahudhuriwa na wageni mashuhuri 400 akiwemo Mayor wa Jiji la New York.
Paskali.
NB. Hili ni Bandiko mwendelezo
Bandiko la kwanza ni hili.
Bandiko la pili
Ndomana anko magu alikuita Njaa [emoji1787][emoji1787]akili zako zipo kinjaanjaa tu
 
Asante Mkuu P SNR kwa taarifa.
Mkuu Bambushka, asante kutumia title yangu mpya ya P.Snr, P.Jnr yupo na Mungu kasaidia ni akishiba ni mbonji kwa Sana!, maana niliogopa sana kutatizwa na zile sleepless nights za newborn babies kwa umri huu wa over 50!, it's not fun anymore!.

Enjoy those sleepless nights!

They're a bundle of joy!
 
Madeni yote yamelipwa, Tanzania hatudaiwi na yeyote madeni chechefu.
ATC iko free kuruka popote, kutua popote, Jana Dallas wameongezeka kwenye mkataba wa anga huria.
P

Kama kweli wamelipa madeni yote ya nje basi ni kheri ; sasa waje wawalipe na wafanyakazi wa zamani ambao mpaka sasa wanadai haki zao!!
 
Kama kweli wamelipa madeni yote ya nje basi ni kheri ; sasa waje wawalipe na wafanyakazi kazi wa zamani ambao mpaka sasa wanadai haki zao!!
Kwenye ulipaji wa madeni, tunatumia formula ya The African Hospitality, mgeni kwanza, hivyo tumelipa madeni yote ya nje kwanza hata watoto wakilala njaa. Ingekuwa ni wazungu, tungeanza na madeni ya ndani kwa mtindo wa Charity Start at home.
P.
 
Mkuu Pulchra, Pulchra Animo , Please no!, usitufananishie na Lusiferi!. Japo sio malaika, and she is not what she looks, lakini sisi heart readers, tumemsoma moyo wake, she has a kind loving heart,
Naomba kanisome hapa
Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!”
everything I said about this lady, its true!.
P
Paschal,
I thought you have seen life and you are better than that. By insinuation, you are agreeing that TZ is a failed state and that is because of the immediate past president. Tanzania, became a failed state during JMK time and only came back to limelight after Magufuli. Of cause had serious problems with democracy. He failed to integrate democracy with his zeal to develop the nation. As a result, he made many enemies. It is these enemies who took his life. But then that is history.
Currently we are facing the problem of a comeback of those who took TZ to the dungeon. Those who made TZ a failed state. They are now busy blaming everything on Magufuli. A good leader does not blame on her failrues on what a past leader had done. In other countries you never hear a leader blaming a past one. They only work hard to let what they are doing show the difference. Even Magufuli never blamed Kikwete for anything, and that is what a determined good leader does.

Since Magufuli's death, all problems are due to him. When is the president and her people starting to be responsible for what they do. In all appearances efforts have been made by the current government to demonize Magufuli. SSH has actually done that by bring back failed ministers. Of course she has that mandate and freedom, she needs to be careful, investigate, and determine if there is need. She is not in opposition, therefore she should not look like as one in opposition. But, in reality actions shown by her is like that of a president from opposition.

I have said, one area Magufuli made serious or even grave mistakes is how he treated opposition. If SSH is really different (better) from Magufuli, why has she not let opposition have the freedom that was curtailed by Magufuli? Why is she afraid the katiba issue? I know a lot of people are blaming Magufuli for katiba. The right person to blame with katiba is Kikwete. He was not man enough to stand up and support katiba. He should have stood firm with CCM, but because the katiba had sections that curtailed presidential powers, he became in cahoots with the power hungry and all was reduced to useless piece of paper. It is time to ask SSH to be woman enough to support katiba, siyo kuleta mambo ya Kiswahili ya kucheka huku unang'ata.
 
Mkuu ksk , thanks for this. Kiukweli hii post yako ni a thead on it's own.
P
 
Itaitambulisha Tanzania kwa wageni ambao hawaifahamu nchi yetu,na kukiza utalii.
Utalii imeajiri vijana wengi sana kama madereva waongoza watalii,mahotelia na idara nyingine nyingi
Kumbe Tanzania haijulikani?? Wengine wanaweza kukufahamu wakakupuuza tu
 
Wanabodi
Hii ni Makala ya Jumapili ya Jana.
View attachment 2192033View attachment 2192060
Hongera Rais Samia Kuzindua Filamu ya Royal Tour Marekani, Ingenoga Zaidi Kama Mama Angetua Marekani na Dreamliner Full of Wabongo!.
Usikose kuangalia uzinduzi huu mubashara kuanzia Saa ,1:30 usiku huu kwa saa za Marekani ambapo tumepishana masaa 7, hivyo kwa Tanzania itakuwa ni saa 8:30 usiku.
  1. Kwa sasa sekta ya utalii ndio sekta ya pili Kwa kuingiza Sana fedha za kigeni, na baada ya uzinduzi huu, sekta ya utalii ndio itaongoza.
  2. Tanzania ndio nchi inayoongoza Kwa vivutio vingi vya asili vya utalii, tatizo ni tulikuwa, hatujitangazi. Sasa ndio tunatangaza.
  3. Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ametuleta New York na kujikumbusha enzi zake za utangazaji, akimhoji Msemaji Mkuu mstaafu wa serikali, Dr. Hassan Abasi.
  4. Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya filamu ya Royal Tour, Dr. Hassan Abbas amemsema uzinduzi utahudhuriwa na wageni mashuhuri 400 akiwemo Mayor wa Jiji la New York.
Paskali.
NB. Hili ni Bandiko mwendelezo
Bandiko la kwanza ni hili.
Bandiko la pili
Nasikia video za hii tour zilikuwa zinarekodiwa na watu weupe kwa kile kinachodaiwa kuwa ilikuwa ya kimataifa.
 
Wanabodi
Hii ni Makala ya Jumapili ya Jana.
View attachment 2192033View attachment 2192060
Hongera Rais Samia Kuzindua Filamu ya Royal Tour Marekani, Ingenoga Zaidi Kama Mama Angetua Marekani na Dreamliner Full of Wabongo!.
Usikose kuangalia uzinduzi huu mubashara kuanzia Saa ,1:30 usiku huu kwa saa za Marekani ambapo tumepishana masaa 7, hivyo kwa Tanzania itakuwa ni saa 8:30 usiku.
  1. Kwa sasa sekta ya utalii ndio sekta ya pili Kwa kuingiza Sana fedha za kigeni, na baada ya uzinduzi huu, sekta ya utalii ndio itaongoza.
  2. Tanzania ndio nchi inayoongoza Kwa vivutio vingi vya asili vya utalii, tatizo ni tulikuwa, hatujitangazi. Sasa ndio tunatangaza.
  3. Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ametuleta New York na kujikumbusha enzi zake za utangazaji, akimhoji Msemaji Mkuu mstaafu wa serikali, Dr. Hassan Abasi.
  4. Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya filamu ya Royal Tour, Dr. Hassan Abbas amemsema uzinduzi utahudhuriwa na wageni mashuhuri 400 akiwemo Mayor wa Jiji la New York.
Paskali.
NB. Hili ni Bandiko mwendelezo
Bandiko la kwanza ni hili.
Bandiko la pili
Mayalla, why president?? Hivi wangechaguliwa vijana 3 kutoka umasaini, 4 kutoka ukuryani, 2 Usukumani, Jb na Wema wakawa stars, si ingetosha kuutangaza utalii?? Au kulikuwa na ulazima wa Peter kutega Samaki ndio filam ingetazika??, Niliskia oooh yeah, Peter how is the morning?? This is best for the president, Fanani nimekuona ukitoa pongezi
 
Ni Presidaa kwasababu ndiye starring!. Kwa vile JB na Wema, they are all stars on their own, it's up to us local producers, kutengeneza Wema Tour na JB tour wao ndio wakazindue, premiera zote starring ndie star.

Wema and Jb on their own?? is there other things lather than movie mr. Mayalla??
 
Back
Top Bottom