Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Wakati ninyi mnatekenywa Ikulu kuna watu walikuwa wanasota lupango kwa kesi za kubambikwa.Hivyo vinasaidia nini kundi kubwa la wananchi?...
Kazi iendelee kwa kweliMakamba na Kinana wamerudishiwa heshima zao...
Wakati ninyi mnatekenywa Ikulu kuna watu walikuwa wanasota lupango kwa kesi za kubambikwa.
Ninyi ndo mapimbi.Kua uyaone
Kwani ukifunga watu/ wanasiasa bei ya mafuta ushuka?Hivyo vinasaidia nini kundi kubwa la wananchi???
Hatma ya tozo?bei ya mafuta?mbolea?Ni ipi
Acheneni na hoja za kijinga? Tujadili maisha na sio wanasiasa
Mrundi alikuwa shida sana!Kwani ukifunga watu/ wanasiasa bei ya mafuta ushuka?
Kwa hili tunampongeza snMakamba na Kinana wamerudishiwa heshima zao.
Membe karudi CCM alikofukuzwa.
Mashitaka ya Mbowe yakafutwa.
Waliokuwa lupango kwa kesi za kubambikwa wameachiwa.
Mikutano ya kisiasa imerudi upya.
Polisi wameanza kuwaheshimu wananchi wa itikadi tofauti na chama tawala
Tundu Lissu alionana na Rais huko Ubelgiji, na sasa twasikia kalipwa stahiki zake.
Hata Sugu, ameenziwa kwa muziki wake na Birthday yake ya miaka 50.
Kwa kweli ukiona picha kubwa-The Bigger Picture- inasoma MSHIKAMANO, na SIASA SI UADUI.
Na hapo namkumbuka marehemu Mzee Rashid Mfaume Kawawa na Matembezi yake ya Mshikamano.
Hongera sana mama Samia, hata Mungu aliye juu amesema mpatanishi atarithi mbingu na nchi.
Ilikuwa ni mahakamani na polisi kila sikuWakati ninyi mnatekenywa Ikulu kuna watu walikuwa wanasota lupango kwa kesi za kubambikwa.
Alikuwa ni zaidi ya shetani kabisaMrundi alikuwa shida sana!
Mhanga wa wizi, unyangayi na ujambazi.Bado SABAYA naye ni muhanga.