Hongera Rais Samia, Kwenda US, Kuhutubia UN, Safari ya Kuzindua Filamu Yako ya Royal Tour, Tunaomba Tukusindikize, Dreamliner Yetu Itue New York

Kwakweli nakusifu mtoa mada kwa kuwa kila unapopata muda wa kutuletea bandiko jukwaani huwa unatanguliza mbele maslahi ya Taifa letu pendwa, endelea na kazi hii wala usijali yatakayosemwa juu yako, binafsi natambua ubobezi wako katika tasnia hii ya habari huenda wengine hawakuwahi kukushuhudia umahiri wako ambao umedumu nao katika Tasnia hii tangu kipindi kile upo runingani TvT.

#Mama 2025
 
Paskali, Asante kwa uandishi wako.

Ila kwenye swala la ndege za ATC kutangaza Utalii au kuitangaza nchi kwa hako kasafari kamoja mimi sikubaliani nalo. May be I am too naive but that is my thinking.

Uwanja uwanja mkubwa wa ndege wa JFK ambao umejazwa na Ndege kibao za America na nyingine nyingi za International airlines. Ndege zinatua na kuruka kila dakika, sidhani kama hiyo ATC itakuwa noticed. Vilevile kwa kuwa ni ya Rais itatupa na kupack mbali ambako haitakuwa inaonekana. Zaidi ya yote hata Television za huko hazionyeshi mapokezi ya hao viongozi hivyo hakuna publicity yeyote ile anayoipata kwenye media ya US.

Kama hizo za abiria zinasave monies ni bora hizo.
 
Kusema ukweli hakuna ulicho kitaja kinaweza sababisha tukapata watalii wengi.... hapo umetaja vitu na mambo ya kusaidia kuwafikisha tuu nchi lakini si sababu za kuja kwao.
Lazima tujiulize ni kwanini serengeti na mlima Kilimanjaro vinajitangaza na vinajulukana na watu wanakuja bila kusubiri Royal Tour......?
Lazima tukubali kuwa watalii wanahitaji kuvutwa lakini hii ya Royal tour mimi sihafiki kabisa hii naiona kama mtoko wa wakubwa tuu.... kama tungehitaji kuwavuta watalii tungeshughulika na tozo zilizopo, kero kwa watalii, hotel kujengwa, barabara korofi kwenda hifadhi zetu, huduma kwa wateja, makodi mengi kwenye sekta ya utalii.... kupunguza viingilio kwenye hifadhi kwa watalii..

Tukitaka pia kutumia watu mashuhuri kuvuta watalii tunahitaji kuwatumia watu mashuhuri kuvutia watalii wengine lakini si Rais Samia...... tuwekeze kuwapata watu mashuhuri zaidi wenye ushawishi zaidi lakini si kuwatumia wanasiasa kuvutia utalii....
Tuwekeze kwenye matangazo makubwa tusiogope gharama kabisa.... hakuna rahisi kwenye kutangaza utalii....
 
Mkulima na yule mkandarasi wanaweza zuia hiyo ndege P
 
Simple!
Mbona hichilema kaenda na hakuna kelele?
 
Kwahiyo hilo neno bwege siyo personal attack?
Mkuu Mama anaitangaza bongo kwa dunia nzima kitu ambacho sio kosa hata kidogo. JPM aliishindwa kabisa shughuli hii ya kuitangaza nchi kimataifa.

Kumuunga mkono sio jambo baya ukumbuke ni miaka sita imepita tangu rais wa TZ ahutubie mara ya mwisho mkutano wa UN.
 
Kila kitu kisingizio ni tozo, mama asifanye lolote basi tozo zitatajwa!. Tujifunze kulipa kodi pasipo sura zetu kununa.
 
Kamwe usipende kulazimisha mawazo yako yakubaliwe na kila mtu.
 
Ndani ya JFK nako. Ndi ndi ndiii! Air Tanzania Flight no. TC 231 arriving from Dar es Salaam. Mara tena Ndii Ndi Ndii, May I have your attention please. Air Tanzania Flight No. TC 232 to Dar es Salaam via Lagos is now ready for boarding. Passengers to this flight kindly proceed to plane through gate no. 17. Mara tena, NDI NDI NDII, This is the final announcement for all passengers travelling on Air Tanzania Flight No. TC 232 to Dar es Salaam via Lagos is now ready for boarding. All passengers flying with this flight kindly get into the plane through gate no. 17.

Sasa shida iko kwa Masanja Mpoki na Muganyizi wamepotea gate la kushukia kwenye Air train huko. NDI NDI NDII, final call to passengers Dutu Masanja, Mpoki Mwakitalima and Edinburgh Muganyizi, passengers travelling by Air Tanzania Flight No. TC 232 to Dar es Salaam TANZANIA via Lagos NIGERIA. Kindly get to plane through gate no 17. You're the last passengers. NDI NDI NDII. Pascal unataka hivyo tutokelezee
 
Well said 👏👌 Mkuu
 

Umekula maharage ya wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…