GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Wamerejea rasmi Tegeta kwa Ndevu, Mbezi Louis, Ubungo Riverside, Mwenge na maeneo mengine mengi ambayo Walifukuzwa Wiki Mbili zilizopita kwakuwa Kisheria hawatakiwi kuwepo.
Ushauri wangu kwa Watajwa katika Kichwa changu cha Uzi huu ni kwamba Safari msihangaike Kuwatimua tena bali waacheni ili waendelee Kuharibu Utaratibu wa Maeneo, Kuchafua Mazingira na hata Kutuletea Usumbufu Abiria na wapita Njia wa maeneo tajwa.
Ama kweli Rais Samia na Serikali yako ( jkiwahusisha Watendaji na Washauri wako ) mnaupiga mwingi kwani Kitendo cha Kuruhusu Utaratibu Kuvunjwa na Wamachinga ndiyo Ufanisi wa Chama Cha Mapinduzi kinachounda Serikali Kuu ya Rais Samia Suluhu Hassan.