Hongera Rais wa JMT. Nimeona nyumba wanazojengewa wakazi wa Ngorongoro huku Handeni. Kusema kweli unastahili kuwa Rais wa JMT

Serikali ya CCM huwa hawaingiagi gharama kizembe kwa manufaa ya wanainchi. Hapo kuna kitu iinaendelea na kitakuja kufanyika kule ngorongoro...... Kuna jambo wanataka kulifanya na linaonekana kuwa litawabefit wao zaidi kuliko taifa.

Haya majitu hayanaga utu hata kidogo.
 
Ni watz wachache sana walioweza kuling'amua hili, wengi bado ni vipofu wa kuona kitu gani kinaendelea NCAA.
 
Ni watz wachache sana walioweza kuling'amua hili, wengi bado ni vipofu wa kuona kitu gani kinaendelea NCAA.
Wangekuwa wanawajali sana hao wanainch kama serikali wangeanzidha special programs za kuwatrain watu namna ya kuishi yale mazingira kulingana na uhitaji.

Ila hii relocation imefanyika ghafla sana na inaonesha wazi kuwa kuna pressure nyuma ya haya maamuzi na hiyo pressure haina uhusiano na kuwajali raia au hao wanyama wenyewe.
 
Hilo ndo jambo la kutilia msisitizo kwa sasa! Sio Handeni na kilindi tu! Tanzania nzima wafugaji wapewe teknolojia Bora kuwawezesha kufuga mifugo michache tena kibiashara
 
Hata akiwajengea mahekalu akawapa na sheli na kuwapeleka Ulaya (kwa wachuuzi) wake bado haitoshi yeye kuvuka 2025 akiwa raisi wa kuchaguliwa wa JMT.
Samia ndo Rais wako hadi 2030 kama hutaki kunywa sumu
 
Mimi ningekuwa Mmasai wa Ngorongoro baada ya kuona zile nyumba kesho yake ningefungasha mizigo yangu na kuhamia Handeni. Wamasai msiache ile ni dhahabu. Unajengewa nyumba ya kudumu na unapewa bure bila malipo na kuwekewa huduma zote za kijamii. Sijaona bahati kama ile mpaka na eneo kubwa la malisho. Hongera sana Mhe. Rais.
 
Watatoka wote kwanza kwa HIARI MWISHO KWA LAZIMA
 
Mwaka 2016, serikali ilianza mchakato wa kuwaondoa watu walioko hifadhi ya Ngorongoro na kwa bahati mbaya ulikuwa ni mpango wa siri, kuna barua ilivuja kutoka Ofisi ya Rais, kwamba itafutwe sehemu ya kwenda kuwapeleka ambayo ni Oldonyosambo.. !
 
Samia ndo Rais wako hadi 2030 kama hutaki kunywa sumu
Ashukuru hata hii minne kwa kukalia nyota ya JPM vinginevyo angeendelea na kudemkia kwenye u vice. Kama anajiona uwezo anao basi na ajiandae 2025 kuongoza Kisiwandui na si JMT tena
 
Ashukuru hata hii minne kwa kukalia nyota ya JPM vinginevyo angeendelea na kudemkia kwenye u vice. Kama anajiona uwezo anao basi na ajiandae 2025 kuongoza Kisiwandui na si JMT tena
Nakuonea huruma sana! Utakufa na kijiba chako! Kwa anayofanya Samia tunampa hadi 2030
 
Mwaka 2016, serikali ilianza mchakato wa kuwaondoa watu walioko hifadhi ya Ngorongoro na kwa bahati mbaya ulikuwa ni mpango wa siri, kuna barua ilivuja kutoka Ofisi ya Rais, kwamba itafutwe sehemu ya kwenda kuwapeleka ambayo ni Oldonyosambo.. !
Kwanini ilishindikana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…