Legacy gani angekuwa jiwe wangehama kwa vipigo wala asinge reallocateLegacy za Magufuli inaendelea, asante kwa kumteua Samia
Na mkitaka kuwaona wamasai itabidi waende Handeni siyo?Kwahiyo ngorongoro ndio wanakabidhiwa warabu rasmi
Umeishia darasa la ngapi?Wamasai hawataki nyumba za matofali, wao wanapenda vijumba vya nyasi na udongo kwa ajili ya kuhama hama na kukimbizana na wanyama wakali wa porini. Serikali haijawatendea haki hata kidogo. Subirini mwezi tu, mtaona wanarudi Ngorongoro kukimbizana na wanyama pori.
Kheeeee!! Mbona wamasai wa ngorongoro jana wametoa tamko la kupinga kua hawajah kukutana na serikali na kukubali kuondoka!!😳😳😳Kusema ukweli Huyu mama sio wa kawaida!
Nimeona nyumba za kudumu na kisasa wanazojengewa wakazi wa Ngorongoro wanaohamishiwa Mkoani Tanga maeneo ya Handeni na Kilindi.
Ni nyumba za kisasa zinazoakisi akili ya Serikali yako katika kupanga na kutekeleza mipango thabiti kwa maslahi ya Tanzania
Mtu ambaye amehamisha hakuwa hata na makazi wala hati ya eneo Leo hii anajengewa nyumba ya kisasa na kupewa hati kabisa!
Kwangu Mimi so far Naona Serikali ya Awamu ya 6 ndo serikali Bora zaidi katika kufanyia kazi mawazo chanya wanayotoa wananchi.
Tulitoa mawazo humu kuwa hela zinazotumika kuwanunulia chakula Wakazi wa Ngorongoro takribani Bil 4-6 kwa mwaka zipelekwe kuwajengea makazi ya kisasa na kudumu wakazi hawa eneo lingine, na Naona leo wazo hili limefanyiwa Kazi na Serikali ya Awamu ya sita.
Hongera sana Rais Samia. Tutazidi kuleta mawazo zaidi kwako kupitia jukwaa hili.View attachment 2150236View attachment 2150237
Hao ni kina Ole Nguruma! Mmasai wa mjini anayetumiwa na Kenya apinge ili Ngorongoro ipotee!Kheeeee!! Mbona wamasai wa ngorongoro jana wametoa tamko la kupinga kua hawajah kukutana na serikali na kukubali kuondoka!!😳😳😳
Kwani wamekatazwa kufuga na kulima? Walipokuwa Ngorongoro walikuwa wanalima?Ukisha wajengea nyumba nini kinaduata? Kipato chao watakitoa wapi wakati waliishi kwa mifugo na kilimo?
Kuna ukweli sio wa Kawaida hata pale anapowakumbatia nyinyi mabeberu. Tungoje 2025 .Kusema ukweli Huyu mama sio wa kawaida!
Nimeona nyumba za kudumu na kisasa wanazojengewa wakazi wa Ngorongoro wanaohamishiwa Mkoani Tanga maeneo ya Handeni na Kilindi.
Ni nyumba za kisasa zinazoakisi akili ya Serikali yako katika kupanga na kutekeleza mipango thabiti kwa maslahi ya Tanzania
Mtu ambaye amehamisha hakuwa hata na makazi wala hati ya eneo Leo hii anajengewa nyumba ya kisasa na kupewa hati kabisa!
Kwangu Mimi so far Naona Serikali ya Awamu ya 6 ndo serikali Bora zaidi katika kufanyia kazi mawazo chanya wanayotoa wananchi.
Tulitoa mawazo humu kuwa hela zinazotumika kuwanunulia chakula Wakazi wa Ngorongoro takribani Bil 4-6 kwa mwaka zipelekwe kuwajengea makazi ya kisasa na kudumu wakazi hawa eneo lingine, na Naona leo wazo hili limefanyiwa Kazi na Serikali ya Awamu ya sita.
Hongera sana Rais Samia. Tutazidi kuleta mawazo zaidi kwako kupitia jukwaa hili.View attachment 2150236View attachment 2150237
kama ni hivyo wahamishwe wote sasa, ili kuleta usawa hii ya kuchagua wanaokubali na wasiokubali, itakuwa ni kipengele. Sababu sio wote wanaotaka kuhamaPropaganda za kipumbavu sana hizi.
Hela zinazotumika kuwanunulia chakula Wakazi wa Ngorongoro takribani Bil 4-6 kwa mwaka zipelekwe kuwajengea makazi ya kisasa na kudumu wakazi hawa eneo lingine, na Naona leo wazo hili limefanyiwa Kazi na Serikali ya Awamu ya sita.
Hizo pesa za kuwalisha mlikuwa mnazitoa wapi? Katika mfuko gani?
kwa kweli inasikitisha sana....mtu anashangilia wenye nchi kunyanyaswa ili mwarabu mgeni apewe nchiKwani anajielewa basi.
Hawa ndio wale wanashangilia huku tupu yote ikiwa wazi.
Tupe ushahidi wa huyo mwarabu aliyepewa Ngorongorokwa kweli inasikitisha sana....mtu anashangilia wenye nchi kunyanyaswa ili mwarabu mgeni apewe nchi
We umenisahau nimekufundisha darasa la 7F mwaka juzi?Umeishia darasa la ngapi?