Hongera Rais wa JMT. Nimeona nyumba wanazojengewa wakazi wa Ngorongoro huku Handeni. Kusema kweli unastahili kuwa Rais wa JMT

Hongera Rais wa JMT. Nimeona nyumba wanazojengewa wakazi wa Ngorongoro huku Handeni. Kusema kweli unastahili kuwa Rais wa JMT

Wamasai hawataki nyumba za matofali, wao wanapenda vijumba vya nyasi na udongo kwa ajili ya kuhama hama na kukimbizana na wanyama wakali wa porini. Serikali haijawatendea haki hata kidogo. Subirini mwezi tu, mtaona wanarudi Ngorongoro kukimbizana na wanyama pori.
 
Umeishia darasa la ngapi?
 
Kusema ukweli Huyu mama sio wa kawaida!

Nimeona nyumba za kudumu na kisasa wanazojengewa wakazi wa Ngorongoro wanaohamishiwa Mkoani Tanga maeneo ya Handeni na Kilindi.

Ni nyumba za kisasa zinazoakisi akili ya Serikali yako katika kupanga na kutekeleza mipango thabiti kwa maslahi ya Tanzania

Mtu ambaye amehamisha hakuwa hata na makazi wala hati ya eneo Leo hii anajengewa nyumba ya kisasa na kupewa hati kabisa!

Kwangu Mimi so far Naona Serikali ya Awamu ya 6 ndo serikali Bora zaidi katika kufanyia kazi mawazo chanya wanayotoa wananchi.

Tulitoa mawazo humu kuwa hela zinazotumika kuwanunulia chakula Wakazi wa Ngorongoro takribani Bil 4-6 kwa mwaka zipelekwe kuwajengea makazi ya kisasa na kudumu wakazi hawa eneo lingine, na Naona leo wazo hili limefanyiwa Kazi na Serikali ya Awamu ya sita.

Hongera sana Rais Samia. Tutazidi kuleta mawazo zaidi kwako kupitia jukwaa hili.View attachment 2150236View attachment 2150237
Kheeeee!! Mbona wamasai wa ngorongoro jana wametoa tamko la kupinga kua hawajah kukutana na serikali na kukubali kuondoka!!😳😳😳
 
Kheeeee!! Mbona wamasai wa ngorongoro jana wametoa tamko la kupinga kua hawajah kukutana na serikali na kukubali kuondoka!!😳😳😳
Hao ni kina Ole Nguruma! Mmasai wa mjini anayetumiwa na Kenya apinge ili Ngorongoro ipotee!

Wamasai waliopo Ngorongoro wamekubali kuondoka
 
Ukisha wajengea nyumba nini kinaduata? Kipato chao watakitoa wapi wakati waliishi kwa mifugo na kilimo?
 
Kusema ukweli Huyu mama sio wa kawaida!

Nimeona nyumba za kudumu na kisasa wanazojengewa wakazi wa Ngorongoro wanaohamishiwa Mkoani Tanga maeneo ya Handeni na Kilindi.

Ni nyumba za kisasa zinazoakisi akili ya Serikali yako katika kupanga na kutekeleza mipango thabiti kwa maslahi ya Tanzania

Mtu ambaye amehamisha hakuwa hata na makazi wala hati ya eneo Leo hii anajengewa nyumba ya kisasa na kupewa hati kabisa!

Kwangu Mimi so far Naona Serikali ya Awamu ya 6 ndo serikali Bora zaidi katika kufanyia kazi mawazo chanya wanayotoa wananchi.

Tulitoa mawazo humu kuwa hela zinazotumika kuwanunulia chakula Wakazi wa Ngorongoro takribani Bil 4-6 kwa mwaka zipelekwe kuwajengea makazi ya kisasa na kudumu wakazi hawa eneo lingine, na Naona leo wazo hili limefanyiwa Kazi na Serikali ya Awamu ya sita.

Hongera sana Rais Samia. Tutazidi kuleta mawazo zaidi kwako kupitia jukwaa hili.View attachment 2150236View attachment 2150237
Kuna ukweli sio wa Kawaida hata pale anapowakumbatia nyinyi mabeberu. Tungoje 2025 .
 
Miaka ya nyuma hapa London waliamua kuifunga London Zoo kwa sababu kulikuwa hakuna fund za kutosha na wakashindwa kuiendeleza
Walipotaka kuifunga akatokea Sheikh tajiri la Uarabuni huko akasema mimi ntaifadhili hakuna kuifunga na akatoa hela zote za kuwalisha Simba na kenge [emoji23][emoji23][emoji23]ili wanae wakija wakawaone

Mzungu akaipokea kwa mikono miwili
Sasa hili suala la Ngorongoro UNESCO wamepigia kelele sana

Hapo ndio sijui hela za makazi katoa mwarabu au matajiri wengine maana sio kwa mbio hizo

Yaani mswahili leo kawa mzuri kwa mwenzie eti nyumba, ekari 3 za kulima na umeme juu
Haya mapenzi PM kayapata wapi?

In a million years siwezi kuwaamini wanasiasa
Kwani wakisema hela za mfadhili ni aibu?
Mbona [emoji636] walitangaza mpaka aliezitoa na zilikuwa ngapi ?
 
Walipaswa wajengewe magorofa kabisa maana ni mradi wa arabuni huo.....watu wenye mafweza yao.
 
Propaganda za kipumbavu sana hizi.

Hela zinazotumika kuwanunulia chakula Wakazi wa Ngorongoro takribani Bil 4-6 kwa mwaka zipelekwe kuwajengea makazi ya kisasa na kudumu wakazi hawa eneo lingine, na Naona leo wazo hili limefanyiwa Kazi na Serikali ya Awamu ya sita.

Hizo pesa za kuwalisha mlikuwa mnazitoa wapi? Katika mfuko gani?
kama ni hivyo wahamishwe wote sasa, ili kuleta usawa hii ya kuchagua wanaokubali na wasiokubali, itakuwa ni kipengele. Sababu sio wote wanaotaka kuhama
 
Kwani anajielewa basi.

Hawa ndio wale wanashangilia huku tupu yote ikiwa wazi.
kwa kweli inasikitisha sana....mtu anashangilia wenye nchi kunyanyaswa ili mwarabu mgeni apewe nchi
 
Back
Top Bottom