Kenya 2022 Hongera Rais wetu mpya, Dkt. William Ruto

Kenya 2022 General Election
Hauwezi ukakuta neno dharau Tanzania, Sisi tunawapendwa watu wote na tunapendana sana sana

Hata Kenya hakuna dharau labda kwa watu maskini, Nimeishi Nairobi University miaka ya 1983 hata siku moja sikuwahi ona Mkenya anayetoka familia za kitajiri anawaza ujinga na dharau

Wewe maskini wa kibera huko huwezi kumfahamu Kikwete wala Othman Chande, Wewe siasa unasimuliwa tu


Sisi watanzania hatuna ukabila kama Kenya, Wala tukikutana ofisini au barabarani hatuulizani ukabila wala dini

Na hata uchaguzi wa juzi nimehudhuria siku ya kufunga kampeni kwenye uwanja wa kasarani, Nilipangwa hapo kama muangalizi kuangalia Kampeni za lala salama zimekaa vipi za Azimio, Matajiri tuliokaa nao jukwaa kuu ni story sana na sisi,

Maskini msiojielewa ambao hata mustakabali wa Maisha ya ndugu na Familia zenu Kenya ndio mna ukabila na dharau,

Matajiri wa kenya wanawatumia wapumbavu na wajinga kama wewe wakati wa uchaguzi kikabila ili kujipatia kura na wewe umejazwa upupu wa dharau

Wakenya wenzako wapo wengi Dar es Salaam wanaheshima na nidhamu sana na ni Family friend, Na hata Mimi nikienda huko kwao vijijini kuwasalimia familia zao zina nidhamu na heshima

Watu ambao ni maskini sana ndio wana dharau sana na wanadharau hata kwao

Wewe unadharau kwenu Kibera!!!!!
 
Sasa hao ndio wana Rais made in Venezuela

Wameona aibu tu kusema mifumo iliingiliwa lakini hoja kama tano za Azimio zina mashiko sana

Majaji wakaona Itakuwa fedhewa na aibu
 
Jiandaeni pia kumpigia magoti Ruto ndani ya Ikulu ya Tanzania kumuomba msamaha, hii nchi yetu sijui tu, kwa kweli, ila saa inatiki na kunakaribia kukucha!
Nusu ya Kenya ni Jangwa, Mpaka tunapoongea hapa Kenya Mifugo inakufaa kwa ukame

Watu wanakufa kwa ukame na njaa kenya

Kampeni zinaendelea baadhi ya maeneo niliyopita Kenya kwa kweli ni huruma sana na serikali ina Jitahidi lakini kuna hali mbaya sana ya njaa, Mifugo inakufa sana

Ruto sio presidential material, Hana tofauti na Magufuli wa wakati huo Tanzania

Ruto na Magufuli hakuna tofauti, Wanaabudi na kusali sana lakini upande wa pili???
Urais Unahitaji usiwe na visasi wala hasira

Ruto mpaka Leo ameshinda ana uchungu na The Citizen TV, ana uchungu na wale wasiomuunga mkono, Ana uchungu na Ardhi iwe yake binafsi

Mkuu siasa za Afrika ni ngumu sana

Ruto alifaa kuwa Waziri mkuu au Makamu tu, Awepo mtu wa kumdhibiti

Huyo atawashughulikia wakenya na kuwarudisha utawala wa Moi wa Kutekana na kuteswa

Watawala wa Afrika na Siasa zetu watu tunafahamiana sana

Urais sio chuki kwa wanaokupinga,

Ruto ataanzisha ukabila mpya Kenya na mapambano mapya ya watu kupigana kama State machinery hazitamdhibiti huyo

Kenyatta Uhuru ni presidential material

Kibbaki Mwaik ni presidential material

Samia ni presidential material

Kikwete ni presidential material

Ruto na Magufuli a big Nooooooo
 
Kama upo sawa lakini naamini Ruto hana Visasi kihivyo unavyodhani na kufikiri
 
Ngoja tuone watakavyo fanyakazi na Naibu wake kwanza, wote wajuaji. Lakini vyombo vya Habari, Citizen na Inooro kwa mfano. Maswali yao kwenye press leo yamewekwa viporo. Hasa huyo wa Citizen kapiga kwenye mshono baada ya kuchekwa.
 

Yeah! Moi hakumtaka, if I remember well he fought off the then MP Mr. Chesire, he is a true hustler, my problem with him is that his name has featured in almost every major scandal.
 
Mwambie Mithali 20:1 inazungumzia mvinyo na vileo/pombe. Magari na Farasi ni Zaburi 20:7 Mungu hazihakiwi.
Huyo si alishapora ardhi za watu au Umesahau mkuu?

Sasa Yeye ndio Boss kwa sasa, Muwe mnatunza kumbukumbu
 
Huyo si alishapora ardhi za watu au Umesahau mkuu?

Sasa Yeye ndio Boss kwa sasa, Muwe mnatunza kumbukumbu

Mungu kambeep kidogo tu mistari ya Biblia ikaparanganyika kwenye speech.
 
Ndio maana wakenya wanaendelea, walishatoka era za ujinga miaka mingi wale kwenye mambo mengi wako civilised kwa level ya hali ya juu kabisa

Ukabila tu ni kielelezo tosha kwamba si wajinga tu bali ni zaidi ya hapo ni watumbafu.
 
Yeah! Moi hakumtaka, if I remember well he fought off the then MP Mr. Chesire, he is a true hustler, my problem with him is that his name has featured in almost every major scandal.
Niko na wasi wasi pia..,
 
Kuria west and kuria east in migori county should be remembered in his administration.
 
KENYA mmefanya jambo kubwa sana ....hongereni sana guys big up
 
Simfahamu sana huyu ndugu siasa zake namsikia tu.
 

..Mimi nina matumaini Ruto hatalipiza kisasi.

..USHINDI humfanya mtu asamehe waliomtendea mabaya.

..Mtakumbuka Mandela alifanyiwa dhuluma kubwa, lakini alipopata ushindi na madaraka hasira zote zikaisha.
 
Tanzania hatutegemei kenya ila kenya inategemea sana Tanzania!! Bidhaa za viwandani toka kenya ni nyingi sana! mkileta za kuleta tutawapiga marufuku kuletra bidhaa zenu na tutaagiza toka malawi, Zambia na afrika ya kusini!! Tuna chakula cha kutosha!!
 
Kama Ruto ni kama Magufuli basi mtakuwa mmepata rais mzuri sana!!! Ila nasikia Ruto ana traits za ufisadi wakati Magufuli hakuwa hata na chembe ya ufisadi, ndio maana alipiga vita sana ufisadi.
 
Yeah! Moi hakumtaka, if I remember well he fought off the then MP Mr. Chesire, he is a true hustler, my problem with him is that his name has featured in almost every major scandal.
Ikifika ni projects na utendakazi sioni kama Ruto atawahi fikia Uhuru. Jamaa amezungukwa na Ufisadi tupu. We probably won't be able to post mile stone development projects here again. Kila kitu itasimama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…