Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hauwezi ukakuta neno dharau Tanzania, Sisi tunawapendwa watu wote na tunapendana sana sanaKama Raila mwenyewe alisema ataheshimu maamuzi ya Mahakama wewe ni nani hadi u question Mahakama yao ? Unaishi Dunia nyingine, eti wamuombe Kikwete ungejua hata kumjua siajabu hawamjui wala usingemtaja, hakuna watu Wakenya wanawadharau kama Watanzania hilo labda hamjalijua tu bado vinginevyo msingejipendekeza hivyo kwa kwa watu ambao wanawadharau.
Jinsi ambavyo unavyofikiria sivyo wanavyokuona, unajidanganya sana.
Pigeni magoti tena Ikulu kumuomba na Ruto msamaha!
Sasa hao ndio wana Rais made in VenezuelaWatanzania siasa za kenya zinapaswa Sana kutufundisha
Ila Leo mahakama haiko huru
Bunge haliko huru
Kila kitu Kipo under control ya CCM
Rais Mungu MTU Kwa mfumo WA nchi yetu.
Tanzania iliyoikomboa Africa mashariki na kusini Mwa Africa Leo hii tumekuwa vipofu WA kwenda kujifunza toka Kwa tuliowapambania democracia so shame
Nusu ya Kenya ni Jangwa, Mpaka tunapoongea hapa Kenya Mifugo inakufaa kwa ukameJiandaeni pia kumpigia magoti Ruto ndani ya Ikulu ya Tanzania kumuomba msamaha, hii nchi yetu sijui tu, kwa kweli, ila saa inatiki na kunakaribia kukucha!
Sio mbaya kiwango hiki.Kariba ya Ruto ni kama JPM tu kwa ubabe, Naona kama wenzetu Jamaa atakuwa katili sana na watu kupotea
Kama upo sawa lakini naamini Ruto hana Visasi kihivyo unavyodhani na kufikiriNusu ya Kenya ni Jangwa, Mpaka tunapoongea hapa Kenya Mifugo inakufaa kwa ukame
Watu wanakufa kwa ukame na njaa kenya
Kampeni zinaendelea baadhi ya maeneo niliyopita Kenya kwa kweli ni huruma sana na serikali ina Jitahidi lakini kuna hali mbaya sana ya njaa, Mifugo inakufa sana
Ruto sio presidential material, Hana tofauti na Magufuli wa wakati huo Tanzania
Ruto na Magufuli hakuna tofauti, Wanaabudi na kusali sana lakini upande wa pili???
Urais Unahitaji usiwe na visasi wala hasira
Ruto mpaka Leo ameshinda ana uchungu na The Citizen TV, ana uchungu na wale wasiomuunga mkono, Ana uchungu na Ardhi iwe yake binafsi
Mkuu siasa za Afrika ni ngumu sana
Ruto alifaa kuwa Waziri mkuu au Makamu tu, Awepo mtu wa kumdhibiti
Huyo atawashughulikia wakenya na kuwarudisha utawala wa Moi wa Kutekana na kuteswa
Watawala wa Afrika na Siasa zetu watu tunafahamiana sana
Urais sio chuki kwa wanaokupinga,
Ruto ataanzisha ukabila mpya Kenya na mapambano mapya ya watu kupigana kama State machinery hazitamdhibiti huyo
Kenyatta Uhuru ni presidential material
Kibbaki Mwaik ni presidential material
Samia ni presidential material
Kikwete ni presidential material
Ruto na Magufuli a big Nooooooo
The gentleman baught us football in Kahoya when I was young, 1997, alikua anapita campaigning tulikua tunacheza ball, "lifundo" if u know it, then he promised kutuletea adidas, and he sure did by evening! I didn't vote him but he has earned my respect, yaani kumbe even Moi didn't want him to be an MP, saw in a documentary about him, meaning jamaa ni self made, a real hustler! Wueh! Nimetii walai!
Kama upo sawa lakini naamini Ruto hana Visasi kihivyo unavyodhani na kufikiri
Huyo si alishapora ardhi za watu au Umesahau mkuu?Mwambie Mithali 20:1 inazungumzia mvinyo na vileo/pombe. Magari na Farasi ni Zaburi 20:7 Mungu hazihakiwi.
Huyo si alishapora ardhi za watu au Umesahau mkuu?
Sasa Yeye ndio Boss kwa sasa, Muwe mnatunza kumbukumbu
Ndio maana wakenya wanaendelea, walishatoka era za ujinga miaka mingi wale kwenye mambo mengi wako civilised kwa level ya hali ya juu kabisa
Niko na wasi wasi pia..,Yeah! Moi hakumtaka, if I remember well he fought off the then MP Mr. Chesire, he is a true hustler, my problem with him is that his name has featured in almost every major scandal.
Kuria west and kuria east in migori county should be remembered in his administration.The gentleman baught us football in Kahoya when I was young, 1997, alikua anapita campaigning tulikua tunacheza ball, "lifundo" if u know it, then he promised kutuletea adidas, and he sure did by evening! I didn't vote him but he has earned my respect, yaani kumbe even Moi didn't want him to be an MP, saw in a documentary about him, meaning jamaa ni self made, a real hustler! Wueh! Nimetii walai!
Nakubaliana na wewe mkuu, Jamaa Inaonekana ana machungu sana sana na atalipa kisasi
Suala la kusema kuna watu walimtisha na hataki handshake kuna kitu Kenya mtakipata
Huyu anaweza warudisha enzi za Moi na watu Kutekwa na kupotezwa, Mlipitia haya kwa miaka zaidi ya 25
Sisi tangu huru tumepitia mambo magumu wakati wa JPM tu,
Watanzania hata siku moja hatujawahi kuchukia viongozi wetu uwe umeiba kura au hukuiba kura lakini Jamaa alikuwa na hasira kama za huyo Ruto
Ruto kwa alivyo ata dili na watu wengi sana
Time will tell
Tanzania hatutegemei kenya ila kenya inategemea sana Tanzania!! Bidhaa za viwandani toka kenya ni nyingi sana! mkileta za kuleta tutawapiga marufuku kuletra bidhaa zenu na tutaagiza toka malawi, Zambia na afrika ya kusini!! Tuna chakula cha kutosha!!Ngoja tuone Wabongo watakavyonza kujipendekeza kwa Ruto kuanzia utosini mwao mpaka miguuni kama kawaida yao kujipendekeza kwa winners, muda si mrefu watapiga magoti ikulu kumuomba msamaha Ruto full kujidhalilisha, uzuri ni kwamba Ruto hana mpango na Tanzania na sijui hata kama keshawahi kufika, huyo yuko na Uganda.
Anyway laana aliyopigwa Uhuru Kenyata na Mungu itafika Bongo soon, hata huku ana watu wake pia siyo Raila tu, Mungu yuko fair siku zote.
Uhuru nenda zako, pure evil!
Kama Ruto ni kama Magufuli basi mtakuwa mmepata rais mzuri sana!!! Ila nasikia Ruto ana traits za ufisadi wakati Magufuli hakuwa hata na chembe ya ufisadi, ndio maana alipiga vita sana ufisadi.Nusu ya Kenya ni Jangwa, Mpaka tunapoongea hapa Kenya Mifugo inakufaa kwa ukame
Watu wanakufa kwa ukame na njaa kenya
Kampeni zinaendelea baadhi ya maeneo niliyopita Kenya kwa kweli ni huruma sana na serikali ina Jitahidi lakini kuna hali mbaya sana ya njaa, Mifugo inakufa sana
Ruto sio presidential material, Hana tofauti na Magufuli wa wakati huo Tanzania
Ruto na Magufuli hakuna tofauti, Wanaabudi na kusali sana lakini upande wa pili???
Urais Unahitaji usiwe na visasi wala hasira
Ruto mpaka Leo ameshinda ana uchungu na The Citizen TV, ana uchungu na wale wasiomuunga mkono, Ana uchungu na Ardhi iwe yake binafsi
Mkuu siasa za Afrika ni ngumu sana
Ruto alifaa kuwa Waziri mkuu au Makamu tu, Awepo mtu wa kumdhibiti
Huyo atawashughulikia wakenya na kuwarudisha utawala wa Moi wa Kutekana na kuteswa
Watawala wa Afrika na Siasa zetu watu tunafahamiana sana
Urais sio chuki kwa wanaokupinga,
Ruto ataanzisha ukabila mpya Kenya na mapambano mapya ya watu kupigana kama State machinery hazitamdhibiti huyo
Kenyatta Uhuru ni presidential material
Kibbaki Mwaik ni presidential material
Samia ni presidential material
Kikwete ni presidential material
Ruto na Magufuli a big Nooooooo
Ikifika ni projects na utendakazi sioni kama Ruto atawahi fikia Uhuru. Jamaa amezungukwa na Ufisadi tupu. We probably won't be able to post mile stone development projects here again. Kila kitu itasimama.Yeah! Moi hakumtaka, if I remember well he fought off the then MP Mr. Chesire, he is a true hustler, my problem with him is that his name has featured in almost every major scandal.