Hongera Samatha Mbwana kwa kujenga nyumba

Hongera Samatha Mbwana kwa kujenga nyumba

Kawaambia muweke mjengo wake mtandaoni?, wemgine hawapendi muanike mambo yao mitandaoni hata kama ni watu mashuhuri.

Katika pitapita zako ukaambiwa eti mjengo ni wa mtu fulani, una uhakika gani kama taarifa ni za kweli?

Kama ni kweli na ametaka tulijue hilo hongera kwake.
 
Hongera kwako Mbwana Samatha,
hivi hiki ndo kile alichopewa na serikali au?
 
Katika pita pita zangu nikaambiwa huo ndo mjengo wa shujaa wa football TZ a.k.a Mbwana Samatha.

Lakini jamaa anakipiga tu huko Belgium hana hata sifa za kukirusha kitu chake kipya baada ya kuivunja nyumba yake ya awali iliyokuwepo eneo hilo la kisarawe II Kigamboni.

View attachment 452717
Wow Wow Wow so nice! Hongerah sana Mbwana Samata
 
Domo ye alikuaga anaosha na v8 ya chief kiumbe baadae akanyang'anywa bfr hapo alikua anatumia bmw x6 ya demu wake wema siku manzi amenyang'anywa na mkongo Domo akarudi kwenyd prado yake model ya 2004 hahah.Ila sa hivi anatuzuga eti atanunua royce rolls.

Ila kanunua mwisho wa siku.
 
Back
Top Bottom