LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,943
- 37,839
Hongera sana binti wa Likud kwa kuchaguliwa first selection form five.
Shule ni ya day, ipo Ilala, Dsm.
Ada elfu 20 kwa mwaka... Duh wacha nikimbie zangu One Point ya Chax nikajipongeze na kawine kangu ka elfu arobaini.
Duh my budget was 50 Cents.
Matokeo yamekuwa Jay Z.
Sio kawaida kwa mtoto binti wa kiislamu " Gen Z" aliezaliwa na kukulia uswahilini, Dar kuanzia primary, kufaulu kidato cha nne.
Darasani kwao wamechaguliwa 50. Kati Yao High School wapo 38 na 12 ni colleges.
Mungu awaongoze hawa watoto wafike mbali, Insha'Allah.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
.......
Anyways, hapo Ilala atasoma mwezi mmoja tu au chini ya hapo, namtafutia boarding around Kisarawe. Jokate Mwegelo au Maneromango High School.
Pia namwambia abadilishe comby.
Wamemtupa HGE na she is not good in Mathematics. Shule ya Ems aliyo soma kuanzia primary walikuwa wanawafundisha kukariri Viingereza tu.
Ntamwambia asome " Hatusomi Kufaulu Lazima" ( HKL)
...........
Don't stress yourself kulipa ada kubwa kwenye shule za mamilioni kama huna billioni moja kwenye akaunti yako.
Haya sasa twende kazi, kimbia haraka sana nenda kamtoe mwanao shule ya Ems mrudishe Kayumba.
Thank me later