Hongera sana daughter kwa kuchaguliwa form 5 first selection. Shule ipo Ilala ( Sema ni Day)

Hongera sana daughter kwa kuchaguliwa form 5 first selection. Shule ipo Ilala ( Sema ni Day)

Ka Lichawi, ujue niko likizo home.
YUko grade 4, so shule yao hawana likizo this time.

Hapa ana niambia hawezi lala mpaka ale Tena, note tume kula saa 12 msosi fulani😁
Ha haaaa haaa. Kuna age wtt huwa wanakula MashaAllah. Na akila mwache tu Mana kuna muda atakuwa hana muda au appetite ya kula.
Let her enjoy
 
Ha haaaa haaa. Kuna age wtt huwa wanakula MashaAllah. Na akila mwache tu Mana kuna muda atakuwa hana muda au appetite ya kula.
Let her enjoy
Hata mi napenda kula, ila nikiwa home ndio napewa motivation za kula coz I'm lazy.

Nisha mruhusu ale, vipi huna mdogo wako wa kike mkubwa😁😊
 
Mtoto huyo amekua mali ya jf tupe kapicha kake na kanamba
Usije ukasita kurudi hapa mwakani mwezi march au April
 
Makonda, bodaboda na wauza chipsi ni threat kwake.Mtafutie boarding utamsaidia
 
Back
Top Bottom