Am so happy mkuu can u imagine Ada sh elfu ishirini tu. Halafu nime I google hiyo shule kumbe kutoka hapa ninapoishi na nilipo ni gari moja tu like 20 minutesTunapitisha mchango wa pongezi wa binti yetu kama baba alivyosema hapo mtoto wa familia huyo ni kichwa balaa mimi kama mjomba wake familia tutashukuru kwa pongezi na michango yenu ahsane🤣🤣
Ni wazazi wachache sana wenye kuzipende familia zao kufurahia mafanikio ya watoto wao hongera mkuu,wapo wazazi wanatelekeza familia zao na kula na michepuko wakizani ni sifaAm so happy mkuu can u imagine Ada sh elfu ishirini tu. Halafu nime I google hiyo shule kumbe kutoka hapa ninapoishi na nilipo ni gari moja tu like 20 minutes
Muislam ila unataka kujipongeza kwa kunywa wine. Hio pesa si ungetoa hata sadaka kwa wasiojiweza. Ukaswali salatu shukraa. Bado tupo katika siku 10 za mwezi hijja halafu unakunywa wine...Hongera sana binti wa Likud kwa kuchaguliwa first selection form five.
Shule ni ya day, ipo Ilala, Dsm.
Ada elfu 20 kwa mwaka... Duh wacha nikimbie zangu One Point ya Chax nikajipongeze na kawine kangu ka elfu arobaini.
Duh my budget was 50 Cents.
Matokeo yamekuwa Jay Z.
Sio kawaida kwa mtoto binti wa kiislamu " Gen Z" aliezaliwa na kukulia uswahilini, Dar kuanzia primary, kufaulu kidato cha nne.
Darasani kwao wamechaguliwa 50. Kati Yao High School wapo 38 na 12 ni colleges.
Mungu awaongoze hawa watoto wafike mbali, Insha'Allah.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
.......
Anyways, hapo Ilala atasoma mwezi mmoja tu au chini ya hapo, namtafutia boarding around Kisarawe. Jokate Mwegelo au Maneromango High School.
Pia namwambia abadilishe comby.
Wamemtupa HGE na she is not good in Mathematics. Shule ya Ems aliyo soma kuanzia primary walikuwa wanawafundisha kukariri Viingereza tu.
Ntamwambia asome " Hatusomi Kufaulu Lazima" ( HKL)
...........
Don't stress yourself kulipa ada kubwa kwenye shule za mamilioni kama huna billioni moja kwenye akaunti yako.
Haya sasa twende kazi, kimbia haraka sana nenda kamtoe mwanao shule ya Ems mrudishe Kayumba.
Thank me later
Binti yangu ndo muislamu. Mimi nimeretardMuislam ila unataka kujipongeza kwa kunywa wine. Hio pesa si ungetoa hata sadaka kwa wasiojiweza. Ukaswali salatu shukraa. Bado tupo katika siku 10 za mwezi hijja halafu unakunywa wine...
Allah Akuhidi
kapangwaHongera sana mkuu. Kapangwa moja kwa moja Jokate Mwegelo PCB
Waolewa lini nihudhurie😊Muislam ila unataka kujipongeza kwa kunywa wine. Hio pesa si ungetoa hata sadaka kwa wasiojiweza. Ukaswali salatu shukraa. Bado tupo katika siku 10 za mwezi hijja halafu unakunywa wine...
Allah Akuhidi
Niolewe mara ngapi!?Waolewa lini nihudhurie😊
Aongeze mahali, ila wewe, MrsPablo1, na Shem shem binti kiziwi mna maturity fulani nzuri.Niolewe mara ngapi!?
Asante sn.Aongeze mahali, ila wewe, MrsPablo1, na Shem shem binti kiziwi mna maturity fulani nzuri.