Hongera sana daughter kwa kuchaguliwa form 5 first selection. Shule ipo Ilala ( Sema ni Day)

Tunapitisha mchango wa pongezi wa binti yetu kama baba alivyosema hapo mtoto wa familia huyo ni kichwa balaa mimi kama mjomba wake familia tutashukuru kwa pongezi na michango yenu ahsane🤣🤣
 
Am so happy mkuu can u imagine Ada sh elfu ishirini tu. Halafu nime I google hiyo shule kumbe kutoka hapa ninapoishi na nilipo ni gari moja tu like 20 minutes
 
Ni wazazi wachache sana wenye kuzipende familia zao kufurahia mafanikio ya watoto wao hongera mkuu,wapo wazazi wanatelekeza familia zao na kula na michepuko wakizani ni sifa
 
🙏🙏🙏🙏
 
Muislam ila unataka kujipongeza kwa kunywa wine. Hio pesa si ungetoa hata sadaka kwa wasiojiweza. Ukaswali salatu shukraa. Bado tupo katika siku 10 za mwezi hijja halafu unakunywa wine...
Allah Akuhidi
 
Nilimuahidia akifaulu ntamwamishia Jokate Mwegelo,,
amenishangaza,, kapangwa moja kwa moja,,
👏 PCB
 
Binti yangu ndo muislamu. Mimi nimeretard
. Nafuata dini za ki Afrika.. Ila wazazi hawajui
 
Nilimuahidia akifaulu ntamwamishia Jokate Mwegelo,,
amenishangaza,, kapangwa moja kwa moja,,
👏 PCB
Hongera sana mkuu. Kapangwa moja kwa moja Jokate Mwegelo PCB
 
Ni wazazi wachache sana wenye kuzipende familia zao kufurahia mafanikio ya watoto wao hongera mkuu,wapo wazazi wanatelekeza familia zao na kula na michepuko wakizani ni sifa
🙏🙏🙏🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…