Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Ka Lichawi, ujue niko likizo home.Asante sn.
Hajambo mdogo wako mzuri unaempenda?
Ha haaaa haaa. Kuna age wtt huwa wanakula MashaAllah. Na akila mwache tu Mana kuna muda atakuwa hana muda au appetite ya kula.Ka Lichawi, ujue niko likizo home.
YUko grade 4, so shule yao hawana likizo this time.
Hapa ana niambia hawezi lala mpaka ale Tena, note tume kula saa 12 msosi fulani😁
Hata mi napenda kula, ila nikiwa home ndio napewa motivation za kula coz I'm lazy.Ha haaaa haaa. Kuna age wtt huwa wanakula MashaAllah. Na akila mwache tu Mana kuna muda atakuwa hana muda au appetite ya kula.
Let her enjoy
Mie pia wa kike mwenyewe tu na ndio wa mwisho 😆Hata mi napenda kula, ila nikiwa home ndio napewa motivation za kula coz I'm lazy.
Nisha mruhusu ale, vipi huna mdogo wako wa kike mkubwa😁😊
Semeji shikamoo.. Nakusalimia.Aongeze mahali, ila wewe, MrsPablo1, na Shem shem binti kiziwi mna maturity fulani nzuri.
Una tafutia makosa ehh., haya hujambo Shem shemSemeji shikamoo.. Nakusalimia.
Yalaa!, Nina balaa gani Mimi 😁😂Mie pia wa kike mwenyewe tu na ndio wa mwisho 😆
Atasalimika na wahuni kweli?Shule ipo ilala eeh .
Safi Sana.
Sijambo kabisa, busy busy tu… Semeji yangu mwingine mbabaifu yuko wapi?Una tafutia makosa ehh., haya hujambo Shem shem
U busy ndio maisha yenyewe, una muulizia yule haji manara a.k.a. nusu albino Half american 😂.Sijambo kabisa, busy busy tu… Semeji yangu mwingine mbabaifu yuko wapi?
Mchumba hajambo kabisa, ndiye huyo namuulizia. Ukimuona msalimie.U busy ndio maisha yenyewe, una muulizia yule haji manara a.k.a. nusu albino Half american 😂.
haya na mimi nauliza mchumba angu hajambo?
Fanya namna nimsalimie bhana!, kuhusu lile li haji manara lisha sikia 😂Mchumba hajambo kabisa, ndiye huyo namuulizia. Ukimuona msalimie.
Shem shem shem nimekuita mara tatu kwa ulivyoniitaSijambo kabisa, busy busy tu… Semeji yangu mwingine mbabaifu yuko wapi?
Namb y mtt meenyewhaha😄😃