Hongera sana Dr. Rose Muhando

Hongera sana Dr. Rose Muhando

Ila "wazungu" wanajua kulamba fedha zetu kilaini sana.
 
Nikadhani ni KIBU kumbe GIBU. Next time isomeke King's International Bible University. (KIBU) ili twede sawa. Hongera sana Dr Rose.
 
Unapopokea zawadi kuwa makini sana.
Ma illuminati wengi hutumia zawadi kuua carrier.
Mzee wa Upako alikuwa katika Roho tangu ma illuminati wamjengee kanisa kwisha habari zake.
 
Back
Top Bottom