Ahyan
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 2,310
- 5,482
Huyu mchezaji anakipaji kikubwa sana cha mpira wa miguu,
ana uwezo mkubwa mno wa kutuliza presha ya timu uwanjani,
ana uwezo mkubwa mno wa kutuliza na kuifanya timu imiliki eneo la kiungo,
ikumbukwe kwamba ana uwezo wa kucheza namba 6, 8 na 10
Ukimtoa tu na kumuweka benchi basi ujue dimba la kati linatoboka
Jamaa akiwa uwanjani anafukia fukia mashimo yote pale kati... Akitoka tu hesabu maumivu
Na ndio kilichotokea leo kwenye game ya Tanzania vs Zambia