Huyu aliyeketa hii post itakuwa ni Feisal mwenyeweUna mahaba na Feisal au pengine wewe ndiye Feisal unajipigia debe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu aliyeketa hii post itakuwa ni Feisal mwenyeweUna mahaba na Feisal au pengine wewe ndiye Feisal unajipigia debe
Feisal kumbe na wewe upo humu JFHuyu mchezaji anakipaji kikubwa sana cha mpira wa miguu,
ana uwezo mkubwa mno wa kutuliza presha ya timu uwanjani,
ana uwezo mkubwa mno wa kutuliza na kuifanya timu imiliki eneo la kiungo,
ikumbukwe kwamba ana uwezo wa kucheza namba 6, 8 na 10
Ukimtoa tu na kumuweka benchi basi ujue dimba la kati linatoboka
Jamaa akiwa uwanjani anafukia fukia mashimo yote pale kati... Akitoka tu hesabu maumivu
Na ndio kilichotokea leo kwenye game ya Tanzania vs Zambia
Na huu ndio ukweliHimid Mao ndio alikuwa anafanya kazi chafu, baada ya kutoka Kati kulikufa
Na kuna muda huwezi ona mchango wake hadi atoke, na kama hujaona mchango wake leo basi jua wewe unashabikia majina ya wachezaji kwenye timu na sio timu