Huyu mchezaji anakipaji kikubwa sana cha mpira wa miguu,
ana uwezo mkubwa mno wa kutuliza presha ya timu uwanjani,
ana uwezo mkubwa mno wa kutuliza na kuifanya timu imiliki eneo la kiungo,
ikumbukwe kwamba ana uwezo wa kucheza namba 6, 8 na 10
Ukimtoa tu na kumuweka benchi basi ujue dimba la kati linatoboka
Jamaa akiwa uwanjani anafukia fukia mashimo yote pale kati... Akitoka tu hesabu maumivu
Na ndio kilichotokea leo kwenye game ya Tanzania vs Zambia
Umetumwa na MAMA nini?Huyu mchezaji anakipaji kikubwa sana cha mpira wa miguu,
ana uwezo mkubwa mno wa kutuliza presha ya timu uwanjani,
ana uwezo mkubwa mno wa kutuliza na kuifanya timu imiliki eneo la kiungo,
ikumbukwe kwamba ana uwezo wa kucheza namba 6, 8 na 10
Ukimtoa tu na kumuweka benchi basi ujue dimba la kati linatoboka
Jamaa akiwa uwanjani anafukia fukia mashimo yote pale kati... Akitoka tu hesabu maumivu
Na ndio kilichotokea leo kwenye game ya Tanzania vs Zambia
Una mahaba na Feisal au pengine wewe ndiye Feisal unajipigia debeNa kuna muda huwezi ona mchango wake hadi atoke, na kama hujaona mchango wake leo basi jua wewe unashabikia majina ya wachezaji kwenye timu na sio timu
Asingefanyiwa Fauls zilizomchosha angesaidia kiungo Hadi mwisho.Huyu mchezaji anakipaji kikubwa sana cha mpira wa miguu,
ana uwezo mkubwa mno wa kutuliza presha ya timu uwanjani,
ana uwezo mkubwa mno wa kutuliza na kuifanya timu imiliki eneo la kiungo,
ikumbukwe kwamba ana uwezo wa kucheza namba 6, 8 na 10
Ukimtoa tu na kumuweka benchi basi ujue dimba la kati linatoboka
Jamaa akiwa uwanjani anafukia fukia mashimo yote pale kati... Akitoka tu hesabu maumivu
Na ndio kilichotokea leo kwenye game ya Tanzania vs Zambia
Hujajibu swali langu, uliangalia mpira ama ulikuwa unasikiliza?Umeona lakini baada ya yeye kutoka kati palikuaje
Umeangalia mpira ukiwa Baa,kibanda umiza au nyumbani?Mwanzo mwisho, nimeangalia mpira
Hapana, Feisal Hana nguvu, Hana Kasi, Yuko slow sijajua Feisal katika mechi zote mbili alizocheza alikua Bora katika Nini!!Una chuki na Feisal ama pengine humpendi tu
Ni kweli hana kasi, na hana nguvu lakini huwa ni mzuri sana kwenye kutuliza timu na timu ikawa inacheza bila presha, lakini alipotoka katikati palipwaya kabisa mipira ikawa haitulii ikifika tayari ipo kwa aduiHapana, Feisal Hana nguvu, Hana Kasi, Yuko slow sijajua Feisal katika mechi zote mbili alizocheza alikua Bora katika Nini!!
Leo nime mwona Himid Mao na Muzamiru walikua Bora katika kuzuia na kusaidia kuziba nafasi.
Kazi zote alizotakiwa afanye Feisal amezifanya Samata.
Samata Leo amecheza kama mchezaji mkubwa, anarudi kuchukua mpira na kuchezesha timu.
Feisal anakipaji lakini Yuko Chini Sana ki uwezo kuliko michuano ya AFCON Inavyo taka.
RTDUmeangalia mpira au ulikuwa unasikiliza kwenye redio?