The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 11,197
- 14,771
Asee Heche ni mwamba .
Baada ya msiba huu mzito ni wazi Ccm wakishirikiana na watu wao Hususan Mbowe na zitto kuwatumia kuhakikisha msiba hauwapi Milage Chadema kwa mbinu mbali mbali .naomba mtililiko ya yaliyojiri
- Kipenga kilipigwa kwa mbowe kutumia umkwe kuwa msemaji wa familia ,sisi waafrika tunajuana shemeji anaweza kuwa msemaji wa familia ?? Kuwa kwa kina mtei hakuna wadogo zake wala vijana wa ukoo ? Kwenye vikao vya familia wakwe hata kuingia wanaruhusiwa??
-So ni wazi mbowe alijiweka hakuwekwa kimkakati kuidhibiti chadema isi SHINE
-Mbowe akachemka kwa mhemko wa kujiona anaenda shine msibani akatoa hoja ya kujibu yanayomkabili ikiwemo kuzira chama kwa kupigwa za uso kihalali na kutomtembelea lissu kwenye kujibu kujisafisha akasema wanasiasa hawabishani kwa hoja mnyama heche akawa kajua nini adui atatumia .
- (kabla sijaendelea ngoja nishushie maji kuna katoto kamenila nauli)
- ok tuendelee,msibani mbowe akawa mc asee alikuwa na kila namna ya kupambana ku outshine image ya ukuu wa chadema .
-alipanga ratiba kwa namna ya kuipa ukuu serikali kuliko chama husika cha mtu na kujitengenezea yeye nafasi ya kuwa juu ya wote kwa mgongo wa msemaji wa familia (afrika mashemeji huwa sio wajumbe wa familia zetu) tuliingia vikao vya ndani wanatoka maana wana uhuru wakuachana na dada zetu je waondoke na siri zetu?
- Vita hivi hakujua vinapigwa kwa namna nyingi ,alianza kukosea kumpa mic mzee jenerali wa anga ulimwengu yeye alipiga kichapo cha mbwa serikali kwa fumbo la MAREHEMU HAKUPENDA USWAHILI na kuonesha iliingia mbowe aliirudia kuonesha sindano imeuma
-kombe likaenda kwa mnyika yeye hakusita kupiga mapomu ya eneo la fizi tu na ni mbabe aliipiga kwa lugha ya kujifanya kumuenzi
-Zitto aliongea vyema ila kwakuwa label yake mpaka anaingia kaburini inaitwa HAAMINIKI NA HAELEWEKI nta ignore huwezi jua anamaanisha nini suruhisho ni fanya kama haexist.
-Mpira ukamkuta captain msaidizi ,wamba dia wamba aka JOHN CENA AU JOHN HECHE asee nikiona hii nchi ina vijana mashoga nashangaa sana hawa si wamekulia nchi moja na Heche hawa jaman?
-Mwamba alianza kwa kutosimama waziri mkuu akiwa anaingia huu ni ujumbe kuwa " UKININYIMA HAKI USITARAJIE NITAKUPA HESHIMA "
-Kisha baada ya kukamata mic alipasua hoja aliyojua mbowe kajiweka mwisho aitumie kuwa wanasiasa hawatumii hoja kutofautiana .alimjibu kirahisi kuwa " ukijibu kwa hoja UNAPOTEA akitonesha kidonda kikuu cha serikali ukiacha kuwa mikono yake imejaa damu mbichi mikononi mwake ya 29th bali imejipatia umaarufu kuwa ni serikali inayoongoza kwa KUTEKA WANANCHI WAKE TANGU MAPINDUZI YA RUSSIA .(ILIPATA TUNZO YA UDIKTETA BORA)
(samahani kidogo kwikwi ya uchungu imenishika)
-Kisha mbowe alikuja na kujibaraguza kwa kujifanya mstaarabu na kudhani ukimya wake unachukuliwa ukomavu wa uongozi .namkumbusha oliver ntuntu alisema ukiona simba na swala wanapigana ukasema umeenda mapumziko ya kisiasa wewe uko upande wa simba .
Namheshimu mbowe sana nasimitika kawa na mwisho wa aibu sana ila mchango wake wa dhahabu tutaukumbuka ila ilipofikia aendelee kupumzika .
STATEMENT KUU
Kwa vipindi tofauti sasa hivi Makamu heche kasema CHADEMA SASA NI CHAMA KIKUU kikiitoa CCM kwani siasa hakifanyi tena .so msiite tena chama kikuu cha upinzani hapana ni short unakiita CHAMA KIKUU TANZANIA
NB : MIMI SIO MWANACHADEMA

- Mbowe akaja na tamko la kusema ni msiba wa taifa na utahusisha nyanja zote .hii ni njia ya kujifanya fair kisiri kuipa usawa chadema na wengine kuivunja nguvu.
- Heche akalijua hilo ,nae akamchapa bomu la discombulator lililotumika kumkamata maduro.akaweka wazi chadema lazima kwa namna yeyote itake lead au kitaeleweka