Daud yupiDaudi & Flora
budget ni mhimu sn ndugu..........Kumbe siku hizi kadi za michango zina kiwango cha kutoa kama vile una book chumba lodge double na single. Bora ya mie nilioaga ndoa ya mkeka.
Ndiyo maana biblia inasema usimpe talaka mkeo kwa kosa lolote isipokuwa kwa uashelati sasa hapa, sasa hapa kuna ile ishu ya kubaka, na pia IMA anamtuhu mkewe kutembea na gwajima, so kibiblia kama kuna ushahid wa kusalitiana wana achana, kwa mujibu wa yesu mwenyeweHivi taratibu za dini ya kikristo zikoje juu ya hili???..Unaweza kumuacha mke wako wa ndoa na kuoa mwanamke mwingine?
Safi sana kaka. Umesema lililo moyoni mwangu. Kijana namfahamu sana na katuliaWewe ukisema hiki cha nini wenzako tunasema tutakipata lini.
Ndo tushakipata hivyoo
itoke mfukoni kwako sasa na si kuweka kima cha kutoa kama vile ni lazima.budget ni mhimu sn ndugu..........
Wewe unaezifahamu tuambieHivi taratibu za dini ya kikristo zikoje juu ya hili???..Unaweza kumuacha mke wako wa ndoa na kuoa mwanamke mwingine?
YahKumbe ndo hivyo..
Ndo hivo,we only realise quality in something after we have lost itSafi sana kaka. Umesema lililo moyoni mwangu. Kijana namfahamu sana na katulia
Plz can u try to expand/explain ur comment!! It sounds goodFrom hero to zero...!!!! They used to mentor others and encouraged other people's marriages; inside and outside the church but today...very sad Ng'wanapagi!!!
nilishakwambia namvizia na nimeshaanza kwenda kwenye kijiwe chake cha kuwanyooshea kina daudi bashite ntajilengesha mpaka nimpate hata kama ni kwa kudanganya kuwa nina mapepo feki yanamataka hahahamfariji na Gwa.....ma hahahahahaahahah
Wewe ni nani unayehukumu na kutabiria watu? Mbona huongei kuhusu ndoa kibao zinazofungwa na kuvunjika within a monthKwa alichomfanyia mbasha huyu ajiandae hakuna love wala nini kwa huyo hate her much
Mimi ni shabiki wake mkubwa and I real appreciate with each job through hands of FrolaranceHivi huyu dada bado anaimba nyimbo Za injili??
Kama Ni ndiyo! Bado kuna watu wanamsikiliza??
ExactlyYah
Ndo hivo,we only realise quality in something after we have lost it