Hongera sana homeboy kwa kumleta Flora (Mbasha) Henry nyumbani

Hongera sana homeboy kwa kumleta Flora (Mbasha) Henry nyumbani

Status
Not open for further replies.
Kumbe siku hizi kadi za michango zina kiwango cha kutoa kama vile una book chumba lodge double na single. Bora ya mie nilioaga ndoa ya mkeka.
budget ni mhimu sn ndugu..........
 
Hivi taratibu za dini ya kikristo zikoje juu ya hili???..Unaweza kumuacha mke wako wa ndoa na kuoa mwanamke mwingine?
Ndiyo maana biblia inasema usimpe talaka mkeo kwa kosa lolote isipokuwa kwa uashelati sasa hapa, sasa hapa kuna ile ishu ya kubaka, na pia IMA anamtuhu mkewe kutembea na gwajima, so kibiblia kama kuna ushahid wa kusalitiana wana achana, kwa mujibu wa yesu mwenyewe
 
Wewe ukisema hiki cha nini wenzako tunasema tutakipata lini.
Ndo tushakipata hivyoo
Safi sana kaka. Umesema lililo moyoni mwangu. Kijana namfahamu sana na katulia
 
From hero to zero...!!!! They used to mentor others and encouraged other people's marriages; inside and outside the church but today...very sad Ng'wanapagi!!!
Plz can u try to expand/explain ur comment!! It sounds good
 
Kwa alichomfanyia mbasha huyu ajiandae hakuna love wala nini kwa huyo hate her much
Wewe ni nani unayehukumu na kutabiria watu? Mbona huongei kuhusu ndoa kibao zinazofungwa na kuvunjika within a month
 
Hivi huyu dada bado anaimba nyimbo Za injili??
Kama Ni ndiyo! Bado kuna watu wanamsikiliza??
Mimi ni shabiki wake mkubwa and I real appreciate with each job through hands of Frolarance
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom