Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi huyu dada bado anaimba nyimbo Za injili??
Kama Ni ndiyo! Bado kuna watu wanamsikiliza??
Siwezi kamwe kuoa mke wa mtu, wanawake wamejaa kibao.hivi mnavoshabikia hizo sheria za kanisa kwani zilitoka mbinguni? Mungu mwenyewe alivompa Musa sheria aliweka ya kuachana hata Yesu mwenyewe aliruhusu kuachana kwa uzinzi. hizo sheria za kanisa hazina mashiko zimewekwa na watu tu.
Kwakweli hii ya kuwekeana viwango huwa siielewi kabisa.itoke mfukoni kwako sasa na si kuweka kima cha kutoa kama vile ni lazima.
Unaruhusiwa kutalikiana lakini sio kuoa, Utaoa tena ama kuolewa kama mmoja wenu kafaKama una ushahidi wa uzinzi unaruhusiwa
NopeHivi taratibu za dini ya kikristo zikoje juu ya hili???..Unaweza kumuacha mke wako wa ndoa na kuoa mwanamke mwingine?
Kwetu Iringa bwana neno nyoko lina maana ya MAMA, sasa we unalitumiaje hapa?Aaaah nyoko wewr
From hero to zero...!!!! They used to mentor others and encouraged other people's marriages; inside and outside the church but today...very sad Ng'wanapagi!!!
Mzee wa kuua kama kawaida yako
unazungumziaje talaka? ukimfumania mkeo utaendelea nae?Siwezi kamwe kuoa mke wa mtu, wanawake wamejaa kibao.
Wapuuzi kama hawa wanazidi kuongezeka hata Dr Slaa yuko kwenye kundi la wapuuzi kama huyu kung'ang'ania wake za watu.
Ng'wanapagi, that couple; Florah and Emmanuel lived a life of many to learn from them. My last meeting with them was 2013 when they were ministering for the Lord in Arusha gospel crusade, then it came as rumour mills that they were about to break, they struggled to hide it, but it was not on their side, then I got to meet the lady in Dsm one morning somewhere where she was accompanied by another man (may be he is the one to marry the lady), and she decided to file a suit against Mbasha, now she is going to live with another man, very sad...nimeaumia as if she is my relative. I used to count the couple a heroic one but now it is totally set apart!!!Plz can u try to expand/explain ur comment!! It sounds good
Ktk dini ya kikristo haiwezekani mpaka kifo kitakapo watenganisha. Pia kama hapakuwepo (hapakufanyika) na tendo la ndoa kati ya wana ndoa hao.
Kuna wadau wamesema kwa kosa la uzinzi biblia inaruhusu kuachanaNope
Mkuu kwakweli ni jambo la kushangaza sana.. Yani wanawake wabichi wamejaa tele mtu anaenda kuona mtu aliyeachana na mtu wake.. Yani unaenda kufunga ndoa na mtu aliyekwishaolewaga na kuzaa watoto na kuachika..Huwa sielewi katika wanawake wooote hawa waliojaa na wanatafuta waume wa kuwaowa hivi mtu hajaona mwanamke wa kuishi naye mpaka uchukuwe mke wa mtu?
Karma is really.
Na kutamani piaNa anachukia sana uzinzi pia.
naona bado unaota wewe unahesabu kuna ndoa kama hiyo tena ya kikristo inaonekana huijui misingi yakeWewe ni nani unayehukumu na kutabiria watu? Mbona huongei kuhusu ndoa kibao zinazofungwa na kuvunjika within a month
Wapi nimesema nazifahamu?Wewe unaezifahamu tuambie
shemeji wa bwana harusi kakasirika tehe tehe teheKwani shida ipo wapi..? Mm nilikuwa sifaham ila sasa nimefahamu
Kwani kuna sheria wamevunja? Kipendacho roho jamani.Mkuu kwakweli ni jambo la kushangaza sana.. Yani wanawake wabichi wamejaa tele mtu anaenda kuona mtu aliyeachana na mtu wake.. Yani unaenda kufunga ndoa na mtu aliyekwishaolewaga na kuzaa watoto na kuachika..